Pamoja na Serikali kupiga kura kuiunga mkono Palestina bado wamemuua mtanzania mwenzetu. Ni kujipendekeza au ni msukumo wa imani ndio ulioutuongoza?

Pamoja na Serikali kupiga kura kuiunga mkono Palestina bado wamemuua mtanzania mwenzetu. Ni kujipendekeza au ni msukumo wa imani ndio ulioutuongoza?

# pole sanaa c mate Christina...juz hapa nliona unahojiwa na BBC ulikuwa na huzuni lkn uliamin mdogo wako atarud salama ...haijawa Ivo....Mungu akutiw nguvu kipndi hiki kigumu unachipitia
Inasikitisha sana. Pole kwa wafiwa wote.
 
Nyerere alilazimishwa kuunga mkono Palestina kwa msukumo.w kidini wa Nchi kiarabu

Nchi za kiislamu za kiarabu ziliweka vikwazo vya kutoiuzia nchi yeyote mafuta yenye uhusiano na Israel

Ili tusikose Mafuta Nyerere akaiunga.mkono Palestina

Haukuwa uhusiano wa Hiari
Wanaharakati wote wa Africa hawakubali uonevu wa Palestina na ndio maana mpaka kesho,wanaharakati Wafrika wanamuheshimu sana Arafat,sababu alikuwa nao bega kwa bega katika kuzisaidia nchi za kusini mwa Africa kupata uhuru.

Kamsikilize Mandela intvw yake aliyo ifanya New York tena yy alinyoosha kabisa msimamo wake juu ya Palestina na Arafat japo wazungu walimmind ila mwamba alinyoosha wala hakupindisha.
 
Back
Top Bottom