GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Inasikitisha sana. Pole kwa wafiwa wote.# pole sanaa c mate Christina...juz hapa nliona unahojiwa na BBC ulikuwa na huzuni lkn uliamin mdogo wako atarud salama ...haijawa Ivo....Mungu akutiw nguvu kipndi hiki kigumu unachipitia