WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,373
- 3,139
Mungu wa Hamas na Waislamu Magaidi sio wahivyo.....“ Say, 'He is God the One, God the eternal. He begot no one nor was He begotten. No one is comparable to Him. '”
"Sema, 'Yeye ni Mungu Mmoja, Mungu wa Milele. Hakuzaa wala hakuzaliwa. Hakuna anayefanana Naye.'"
"Sema, 'Yeye ni Mungu Mmoja, Mungu wa Milele. Hakuzaa wala hakuzaliwa. Hakuna anayefanana Naye.'"Mungu wa Hamas na Waislamu Magaidi sio wahivyo.....
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Palestine anahusika vipi na hivyo vifo?
Vijana walichukuliwa mateka na hamas wamefariki Kwa mashambulizi ya jeshi la Israel!!
Sasa hapo Palestine anahusika vipi?
Mungu wa Hamas anafanana na Shetwaani...."Sema, 'Yeye ni Mungu Mmoja, Mungu wa Milele. Hakuzaa wala hakuzaliwa. Hakuna anayefanana Naye.'"
"Sema, 'Yeye ni Mungu Mmoja, Mungu wa Milele. Hakuzaa wala hakuzaliwa. Hakuna anayefanana Naye.'"
Acha unafiki wewe. Ni Watanzania wangapi wanauwawa kila siku mikononi mwa vyombo vya dola, uzembe wa baadhi ya watu, taasisi, nk na hatukuoni ukija kulalamika hapa?Jambo hili limeniuma sana. Tuliwahi kuwambia hapa kwamba hao mnaiwaunga mkono kwa sababu ya imani yenu sio watu wazuri hata kidogo. Sasa ona wamemuua mtanzania mwenzetu asiyekua na hatia. Yani mtu ameenda masomoni hata nchi sio yake ameuwawa kikatili.
Mlipelekea mihemuko yenu ya imani kuiunga mkono Palestina labda mlidhani watawaonea huruma mmesahau kama watu hao ni katili.
Mtu anayewatetea Hamas hana tofauti na muuaji. Unapopewa nafasi ya kuongoza watu wenye imani tofauti usiongoze kwa kuiangalia imani yako.
Mtanzania mwenzetu ameuwawa basi furahini na mgonge champagne ndo mlochokuwa mnakitaka.
Nimemumia sana aisee
Yule kijana kauawa na wapelistina au waisrael?Nyerere alilazimishwa kuunga mkono Palestina kwa msukumo.w kidini wa Nchi kiarabu
Nchi za kiislamu za kiarabu ziliweka vikwazo vya kutoiuzia nchi yeyote mafuta yenye uhusiano na Israel
Ili tusikose Mafuta Nyerere akaiunga.mkono Palestina
Haukuwa uhusiano wa Hiari
Hujui hata unachoandika.Acha laghai hawa ni kitu kimoja washenzi endapo wameua ndugu yetu.
Waziri wa mambo ya nje amefeli Kila alipoenda, hatukuona jitihada zozote za serikali kuhusu mateka wa kitanzania, Kama wangemwondoa balozi wa wapalestina wangejua dunia unawatenga kwenye Mambo yao mabaya.
Waislamu huwaona waarabu kama miungu huku waarabu wakiwaona waafrika kama mavi. Infact hata Quran imesema watu weusi hawatakwenda peponi bali jehanam.Jambo hili limeniuma sana. Tuliwahi kuwambia hapa kwamba hao mnaiwaunga mkono kwa sababu ya imani yenu sio watu wazuri hata kidogo. Sasa ona wamemuua mtanzania mwenzetu asiyekua na hatia. Yani mtu ameenda masomoni hata nchi sio yake ameuwawa kikatili.
Mlipelekea mihemuko yenu ya imani kuiunga mkono Palestina labda mlidhani watawaonea huruma mmesahau kama watu hao ni katili.
Mtu anayewatetea Hamas hana tofauti na muuaji. Unapopewa nafasi ya kuongoza watu wenye imani tofauti usiongoze kwa kuiangalia imani yako.
Mtanzania mwenzetu ameuwawa basi furahini na mgonge champagne ndo mlochokuwa mnakitaka.
Nimemumia sana aisee
Ukute hata Israel wanapambana na HAMAS kwa ajili yake na Wapalestina wengi walio wanyonge chini ya udhalimu wa HAMAS.Jambo hili limeniuma sana. Tuliwahi kuwambia hapa kwamba hao mnaiwaunga mkono kwa sababu ya imani yenu sio watu wazuri hata kidogo. Sasa ona wamemuua mtanzania mwenzetu asiyekua na hatia. Yani mtu ameenda masomoni hata nchi sio yake ameuwawa kikatili.
Mlipelekea mihemuko yenu ya imani kuiunga mkono Palestina labda mlidhani watawaonea huruma mmesahau kama watu hao ni katili.
Mtu anayewatetea Hamas hana tofauti na muuaji. Unapopewa nafasi ya kuongoza watu wenye imani tofauti usiongoze kwa kuiangalia imani yako.
Mtanzania mwenzetu ameuwawa basi furahini na mgonge champagne ndo mlochokuwa mnakitaka.
Nimemumia sana aisee
Faizafox ni empty brain, dini imechukua ubongo woteSerikali inaendeshwa na misimamo ya akina faizafox,wale vijana hawana majina ya upande wao hivyo ni kama yatima hawana mtetezi serikalini
Hamas wote ni wapalestina lakini wapalestina sio wote hamasHammas ni Wapalestina.
Hammas wanatetea maslahi ya Wapalestina.
Hammas wanatumia ardhi na bendera ya Palestina.
Hiyo serikali ya Palestina imeshindwa kuwadhibiti Hammas hivyo inabeba lawama.
Palestina inahusika kwa zaidi ya asilimia 90% katika kile kinachoendelea huko Gaza.
Kwa nini Wateke Raia wasiohusika? Wametumia Sheria ipi iwe ya dini wanayoamini au sheria za kimataifa