Pamoja na Simba sc kuongoza ligi lakini Yanga wana nafasi kubwa ya kuwa bingwa



Vumilieni tu wakuu hakuna namna au mjipange tena mwakani au mkomae na FA tena muombe mkutane na Yanga ili mchukue inaonesha hiyo ndio timu mliojipanga isiwafunge kwa hali na mali mkasahau kwenye mashindano hakuna Yanga pekee.
 
Acha ujinga kagera walichezesh mchezaji ambaye hakupaswa kucheza so anapokonywa point tatu simba sio wajing kukubali kufungwa ela iitembea pale
Na kingine leo simba kaweka watu nje ili kuisubiri toto africa wale watoto wanajifanyaga wanawakazia simba
 
Mkuu vipi kirumba mwanza kunasemaje huko?
 
Halafu kuna suala la Kocha uwezo wake hili viongozi na mashabiki hawalisemi kabisa.. Binafsi huyu kocha ndo tatizo, anapenda mno kujaribu mechi kwa wachezaji sasa matokeo ndo kama hayo eti anamtoa Mavugo, na Mkude bechi.. dah aisee mbaya sana kwa style hii ubingwa hamna
 
Labda mnyama ataenda tena mezani akipata mchezaji mwenye kadi 3 kama kagera sugar.
Naiombea Yanga ishinde mechi zilizobaki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasikia toto waliwauliza simba kabla ya mechi Nani ana kadi 3 za njano manake wao ndio watunza kumbukumbu siku hizi.
 
Mkuu zile mechi tatu za kanda ya ziwa especially na toto ilikua mtego ule hasa kwa nyakati hizi za mwishoni mwa ligi. Mimi nilipata nguvu kuandika uzi huu kwa ajili hiyo coz mmekua na historia mbaya kwa toto na ukizingatia toto ni kijitawi cha jangwani so fitina zilikua wazi kabisa hapo. Btw shukuru Mungu hata hiyo sare. Maneno yangu yametimia kwamba si rahisi kwa Simba kuondoka na point zote 9 kanda ya ziwa. Mshukuru mmepata japo hizo 7 ukijumlisha na za mezaani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasikia toto waliwauliza simba kabla ya mechi Nani ana kadi 3 za njano manake wao ndio watunza kumbukumbu siku hizi.
Hahahaha! Toto kiboko.
Hivi inawezekana TFF wakatengua uamuzi wao wa kuipoka Kagera point 3 na kuirudishia?
Kuna tetesi kuwa TFF wanaogopa kuingia gharama za kutengeneza kombe jingine endapo Yanga watalibeba kwa mara ya 3 mfululizo. Hivyo wanafanya kila aina ya figisu Yanga isilibebe msimu huu.
Soka la bongo pasua kichwa
 
Shida ni kwamba watu wenyewe wanaobebwa hawabebeki. Kwa hiyo hakuNa Namna tu TFF wajiandae kununu kombe lingine. Btw haina haja ya kagera kurudishiwa point zao japo itakua vizuri, Yanga ni kushinda tu mechi zao zilizobaki na ubingwa utasogea jangwani kwa tofauti ya magoli.
 
Duh, kazi kweli kweli.
Nitafurahi sana Yanga ikiendelea kuwa bingwa ili mnyama asipande ndege, teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…