Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 953
- 1,304
- Thread starter
-
- #141
Kama ni betting basi kuna fungu lingekua linanisubiri baada ya dk 90 zingine. [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hongera sana mkuu kwa hesabu zako.
Naamini Yanga itashinda mechi zilizobaki ingawa siyo kirahisi vile. Leo yenyewe roho ilikuwa inanidunda sana tu.
Hahaha.Kama ni betting basi kuna fungu lingekua linanisubiri baada ya dk 90 zingine. [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Wakuu yametimia huku vijana wa jangwani ni mabingwa kwa mara ya tatu mfulululizo na mara ya 27 kwa muda wote.Hahaha.
Mezani FC wameadimika sana hapa jukwaani. Wanasubiria mrejesho wa rufaa yao FIFA, ingawa hata kama watafanikiwa na Yanga wakashinda mechi zote bado Mezani FC, wanaishia kunawa tu.
NEVER AND NEVER will it happen for simba to be champion 2017-2020
hahahaha. tusahau kuwaona mikia fc hapa jukwaaniWakuu yametimia huku vijana wa jangwani ni mabingwa kwa mara ya tatu mfulululizo na mara ya 27 kwa muda wote.
Mkuu pole sana ndo ukubwa huo hata Madrid anateseka na ubingwa wa La liga kama wewe lakin yeye anatoboa CL. Nikutakie heri kwa Mbao japo na wewe tukisikie huko kimataifa.Tusipochukua sijui nitajifichia wapi mimi...eeeh Mungu epusha lisitokee hili la Simba kukosa ubingwa mwaka huu!
Hahaha subiri mkuu utawaona baada ya mechi ya Mbao. Naona sa hivi wanaandaa utaratibu ni jinsi gani ya kuwapunguzia zile bil 4 za SportPesa ili na wao waonekane kimataifa.hahahaha. tusahau kuwaona mikia fc hapa jukwaani
raha sana.
kwikwikwikwiiiii.Hahaha subiri mkuu utawaona baada ya mechi ya Mbao. Naona sa hivi wanaandaa utaratibu ni jinsi gani ya kuwapunguzia zile bil 4 za SportPesa ili na wao waonekane kimataifa.
Mechi ya mbao itafanyika kwenye wanja wa Mbao, Mwanza.kwikwikwikwiiiii.
ninavyoona ni kuwa, yanga tutahitaji kulipa kisasi kwa mbao. nilijua leo mechi ingekuwa ngumu kama ilivyokuwa lkn yanga tumetumia uzoefu wetu kuwadungua ndugu zetu.
mbao watakuja wakitaka ushindi ili wasishuke daraja, lkn tutawafanyia finishing.
itakuwa tafrani kubwa sana tukifungwa home kwetu.
lazima patachimbika na shimo litakuwa refu tu. yanga bingwa tena!!!
asante kwa kunijuza mkuu. hata hivyo, lazima tuwafanyie finishingMechi ya mbao itafanyika kwenye wanja wa Mbao, Mwanza.
Ndo hivyo mkuu, naona sasa wazee wa arosto walikuwa rehab na rehab imekubali On the other hands wale wamchangani walizoea mpira wa peku sasa njumu zikaanza kuwatoa malenge lenge ndo hivyo tena kiNachotokea wenyewe hawaamini.nimecheka sana eti wa mchangani vs wazee wa alosto
yanga bingwa tena, ila ntafurahi akikashindilia goli za kutosha ka mbao fc maana kametupokonya fa
Hakuna namna hawa Mbao ni lazima wachapike wakapate akili ya kupambana na wamchangani vizuri. Na mwisho wa yote hii itatuweke sehemu nzuri hata wale wazee wa mezani wakianza kukaa mezani kimataifa.kwikwikwikwiiiii.
ninavyoona ni kuwa, yanga tutahitaji kulipa kisasi kwa mbao. nilijua leo mechi ingekuwa ngumu kama ilivyokuwa lkn yanga tumetumia uzoefu wetu kuwadungua ndugu zetu.
mbao watakuja wakitaka ushindi ili wasishuke daraja, lkn tutawafanyia finishing.
itakuwa tafrani kubwa sana tukifungwa.
lazima patachimbika na shimo litakuwa refu tu. yanga bingwa tena!!!
Mkuu Kirumba pale sisi kama shamba la bibi tu. Wasitarajie tutajifunga tena. Bad lucky kwa Dante tu siku ile.Mechi ya mbao itafanyika kwenye wanja wa Mbao, Mwanza.
Hakika ubingwa unanoga ukimalizia kwa ushindi.asante kwa kunijuza mkuu. hata hivyo, lazima tuwafanyie finishing
Labda bingwa pombe si ligi hili la vodacom
Nina imani mechi ya mwisho Simba mtashinda 13 - 0Acha ndoto za mchana
Sawa mkuu ngoja tumfanyie kufuru mwaduiNina imani mechi ya mwisho Simba mtashinda 13 - 0
Hahaha.
Mezani FC wameadimika sana hapa jukwaani. Wanasubiria mrejesho wa rufaa yao FIFA, ingawa hata kama watafanikiwa na Yanga wakashinda mechi zote bado Mezani FC, wanaishia kunawa tu.
Hakika Simba imenidhalilisha sanaMkuu pole sana ndo ukubwa huo hata Madrid anateseka na ubingwa wa La liga kama wewe lakin yeye anatoboa CL. Nikutakie heri kwa Mbao japo na wewe tukisikie huko kimataifa.