Pamoja na Simba sc kuongoza ligi lakini Yanga wana nafasi kubwa ya kuwa bingwa

Pamoja na Simba sc kuongoza ligi lakini Yanga wana nafasi kubwa ya kuwa bingwa

Hongera sana mkuu kwa hesabu zako.
Naamini Yanga itashinda mechi zilizobaki ingawa siyo kirahisi vile. Leo yenyewe roho ilikuwa inanidunda sana tu.
Kama ni betting basi kuna fungu lingekua linanisubiri baada ya dk 90 zingine. [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Kama ni betting basi kuna fungu lingekua linanisubiri baada ya dk 90 zingine. [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hahaha.
Mezani FC wameadimika sana hapa jukwaani. Wanasubiria mrejesho wa rufaa yao FIFA, ingawa hata kama watafanikiwa na Yanga wakashinda mechi zote bado Mezani FC, wanaishia kunawa tu.
 
Hahaha.
Mezani FC wameadimika sana hapa jukwaani. Wanasubiria mrejesho wa rufaa yao FIFA, ingawa hata kama watafanikiwa na Yanga wakashinda mechi zote bado Mezani FC, wanaishia kunawa tu.
Wakuu yametimia huku vijana wa jangwani ni mabingwa kwa mara ya tatu mfulululizo na mara ya 27 kwa muda wote.
NEVER AND NEVER will it happen for simba to be champion 2017-2020
 
Tusipochukua sijui nitajifichia wapi mimi...eeeh Mungu epusha lisitokee hili la Simba kukosa ubingwa mwaka huu!
Mkuu pole sana ndo ukubwa huo hata Madrid anateseka na ubingwa wa La liga kama wewe lakin yeye anatoboa CL. Nikutakie heri kwa Mbao japo na wewe tukisikie huko kimataifa.
 
Hahaha subiri mkuu utawaona baada ya mechi ya Mbao. Naona sa hivi wanaandaa utaratibu ni jinsi gani ya kuwapunguzia zile bil 4 za SportPesa ili na wao waonekane kimataifa.
kwikwikwikwiiiii.
ninavyoona ni kuwa, yanga tutahitaji kulipa kisasi kwa mbao. nilijua leo mechi ingekuwa ngumu kama ilivyokuwa lkn yanga tumetumia uzoefu wetu kuwadungua ndugu zetu.
mbao watakuja wakitaka ushindi ili wasishuke daraja, lkn tutawafanyia finishing.
itakuwa tafrani kubwa sana tukifungwa.
lazima patachimbika na shimo litakuwa refu tu. yanga bingwa tena!!!
 
itakuwa tafrani kubwa sana tukifungwa home kwetu.
lazima patachimbika na shimo litakuwa refu tu. yanga bingwa tena!!!
Mechi ya mbao itafanyika kwenye wanja wa Mbao, Mwanza.
 
nimecheka sana eti wa mchangani vs wazee wa alosto

yanga bingwa tena, ila ntafurahi akikashindilia goli za kutosha ka mbao fc maana kametupokonya fa
Ndo hivyo mkuu, naona sasa wazee wa arosto walikuwa rehab na rehab imekubali On the other hands wale wamchangani walizoea mpira wa peku sasa njumu zikaanza kuwatoa malenge lenge ndo hivyo tena kiNachotokea wenyewe hawaamini.
 
kwikwikwikwiiiii.
ninavyoona ni kuwa, yanga tutahitaji kulipa kisasi kwa mbao. nilijua leo mechi ingekuwa ngumu kama ilivyokuwa lkn yanga tumetumia uzoefu wetu kuwadungua ndugu zetu.
mbao watakuja wakitaka ushindi ili wasishuke daraja, lkn tutawafanyia finishing.
itakuwa tafrani kubwa sana tukifungwa.
lazima patachimbika na shimo litakuwa refu tu. yanga bingwa tena!!!
Hakuna namna hawa Mbao ni lazima wachapike wakapate akili ya kupambana na wamchangani vizuri. Na mwisho wa yote hii itatuweke sehemu nzuri hata wale wazee wa mezani wakianza kukaa mezani kimataifa.
 
Watu walivimbisha macho wakisubiri nivae boxer niende kwa mama mkwe na boxer tupu... Maana niliweka ahadi nikajiapiza msimu ulipoanza na Simba akiwa kashika Kasian, nikasema kwamba endapo Simba atachukua ubingwa, nitaenda kwa mama Mkwe mchana kweupe nikiwa na boxer.... Nilijua Yanga hainiangushagi hata! Sasa mikia ikawa wanahesabia siku ya kunisindikiza kwa mama mkwe nikiwa nimevaa boxer... Imekula kwao..
 
Hahaha.
Mezani FC wameadimika sana hapa jukwaani. Wanasubiria mrejesho wa rufaa yao FIFA, ingawa hata kama watafanikiwa na Yanga wakashinda mechi zote bado Mezani FC, wanaishia kunawa tu.

Tulisha waambia Maandamano FC kuwa dawa ya wao kulishika kombe wao Kuliiba TUU teh teh teh
simba.jpg
 
Back
Top Bottom