Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Hakuna sera nzuri za kulinda maisha ya watoto.
Watoto wengi wanaanza kufanya kazi za majumbani kama kupika, kufagia na kuosha vyombo wakiwa na miaka minne hadi saba. Hii ni asilimia 90 Tanzania nzima.
Lakini ni kwa sababu wazazi wao hasa akina mama wanahangaika kufanya biashara ndogondogo usiku kucha.
Hakuna sera nzuri kabisa kulinda mtoto zaidi ya safari za Dubai kila siku