Pamoja na taifa kuwa na Rais Mwanamke, idadi ya watoto wanaojilea kabla ya muda imeongezeka

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Hakuna sera nzuri za kulinda maisha ya watoto.

Watoto wengi wanaanza kufanya kazi za majumbani kama kupika, kufagia na kuosha vyombo wakiwa na miaka minne hadi saba. Hii ni asilimia 90 Tanzania nzima.

Lakini ni kwa sababu wazazi wao hasa akina mama wanahangaika kufanya biashara ndogondogo usiku kucha.

Hakuna sera nzuri kabisa kulinda mtoto zaidi ya safari za Dubai kila siku
 
Hapa umepatia sn
 
So Uana mke wake unazuiaje hayo? Makalio tumieni kukalia tu. Kufikiria si kutumia hayo.
 
Modem ilikuwa na Katibu wa UWT nadhani muda huu ameachiwa utamuona
 
Shida hapa ni umaskini katika ngazi ya Kaya zetu. Hakuhitajiki hata Sera maalum ya hilo. Hiyo Sera haitawork bila kuondoa level fulani ya umaskini.
Nafikiri Sera muhimu ni kuhakikisha watoto hawa hawakosi fursa za kusoma na kutibiwa
 
Reactions: Ame
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…