NO REFORMS NO ELECTIONHizi chuprichupri huwa hazifikagi mbali,sasa hivi wanavyolilia points 3 za mezani utadhani sio GSM aliyekuwa anadhamini zaidi ya timu 8, na mipango yote nye ya uwanja bado mnaogopa kupeleka timu uwanjani.
Hii ni hasara kubwa kwa GSM,wameishia makundi,sasa kulilia hadi points za menzani,ni uoga ulioje unakimbia mechi kwa kuogopa kufungwa?
kwani tarehe 8/03/2025 nani alikimbia? tukiacha unafiki?Hizi chuprichupri huwa hazifikagi mbali,sasa hivi wanavyolilia points 3 za mezani utadhani sio GSM aliyekuwa anadhamini zaidi ya timu 8, na mipango yote nye ya uwanja bado mnaogopa kupeleka timu uwanjani.
Hii ni hasara kubwa kwa GSM,wameishia makundi,sasa kulilia hadi points za menzani,ni uoga ulioje unakimbia mechi kwa kuogopa kufungwa?
Wasilete timu tuchukue ubingwaHizi chuprichupri huwa hazifikagi mbali,sasa hivi wanavyolilia points 3 za mezani utadhani sio GSM aliyekuwa anadhamini zaidi ya timu 8, na mipango yote nye ya uwanja bado mnaogopa kupeleka timu uwanjani.
Hii ni hasara kubwa kwa GSM,wameishia makundi,sasa kulilia hadi points za menzani,ni uoga ulioje unakimbia mechi kwa kuogopa kufungwa?
hakuna ubingwa mashakani yanga akicheza mechi tarehe 15...simba kumfunga yanga bado sanaHizi chuprichupri huwa hazifikagi mbali,sasa hivi wanavyolilia points 3 za mezani utadhani sio GSM aliyekuwa anadhamini zaidi ya timu 8, na mipango yote nye ya uwanja bado mnaogopa kupeleka timu uwanjani.
Hii ni hasara kubwa kwa GSM,wameishia makundi,sasa kulilia hadi points za menzani,ni uoga ulioje unakimbia mechi kwa kuogopa kufungwa?
tunataka tuwashikishe adabu akina karia na kikundi chake cha wahuni kuwalea lea makoloNini kinawazuia kuleta timu kama siyo uwoga
aliyekimbia mechi ni yule aliyemzuia mwenzie kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi,kama mlikuwa mnajiamini mngeacha wenzenu wafanye mazoezi ikiwa ni haki ya kikanuni.Nini shida hasa iliyosababisha kukimbia mechi ya tarehe 8?