Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
No reform No election
Kwan mechi si iliahirishwa na kamati husika?.Nini shida hasa iliyosababisha kukimbia mechi ya tarehe 8?
Itakuwa unaota, ndoto nyevu ya mchanaHizi chuprichupri huwa hazifikagi mbali,sasa hivi wanavyolilia points 3 za mezani utadhani sio GSM aliyekuwa anadhamini zaidi ya timu 8, na mipango yote nye ya uwanja bado mnaogopa kupeleka timu uwanjani.
Hii ni hasara kubwa kwa GSM,wameishia makundi,sasa kulilia hadi points za menzani,ni uoga ulioje unakimbia mechi kwa kuogopa kufungwa?