Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

Mwenyewe annajitapa kuwa yeye ni nyoka mwenye makengeza, hahahaha..huyu mzee huyu ni noma
 
Ningependa kumfahamu chenge kwa undani zaidi,maana maishu anayopiga siyo ya mchezo mchezo na huwa hapatagi kesi wala mashtaka ya kujibu, "how genius is this?"seems he know well to play samba in this country
Time will tell and nature will counter check.
 
Aliua dada wawili saa 9 za usiku,na gari aliyokua anaendesha pick up haikua na hata insurance akapona,EPA,Richmond,Escrow,BAE,ndege ya rais yote mastemind na majuzi Katiba
 
Aliua dada wawili saa 9 za usiku,na gari aliyokua anaendesha pick up haikua na hata insurance akapona,EPA,Richmond,Escrow,BAE,ndege ya rais yote mastemind na majuzi Katiba
Na sasa ni BOSS wa kutunga sheria !!!!!!!!!!
PHP:
 
"Vijana leo wengi wana mali zaidi kuliko wazee waliofanya kazi miaka thelathini hadi arobaini. Lakini wanaitaka Serikali ndiyo iwaulize mali hiyo wameipata wapi. Hivi kwa nini mzazi asimuulize mwanae, 'mali hii umeipata wapi?'" - Edward Moringe Sokoine, 23 Oktoba 1983
 
"Katika nchi inayojali haki na usawa, majeshi hayana budi yawe ni chombo cha kulinda haki na maslahi ya walio wengi. Na kamwe hayaruhusiwi kuwa ni chombo cha wachache wenye kujali nafsi zao na kusahau maslahi ya walio wengi" - Edward Moringe Sokoine, 1Februari 1977
 
Huyu ni kupiga tu km tunavyowapiga wengne huku mtaaani serikalini hawamuwezi.
 
"TUMERUHUSU Walanguzi na Wahujumu Uchumi kuongoza nchi. Wananchi wamefika mahali ambapo wanashindwa kutofautisha kati ya viongozi wa chama (CCM) na Serikali na Walanguzi na Wahujumu uchumi wa nchi."

Ilikuwa Machi 7, 1983 Dodoma.
 
Huyu si ndo alisem gamba limefika kiunoni? Huyu ndiyo anaueratibu shuguli zote za wizi
Ingekuwa nchi yenye maadili wakati angekuwa jela au mahabusu. Mtu ambaye amekuwa proven na SFO kuwa.ni fisadi halafu bado anaengwa engwa tu. Haikubaliki.
 
Mwenyewe annajitapa kuwa yeye ni nyoka mwenye makengeza, hahahaha..huyu mzee huyu ni noma

Inawezekana maana toka nianze kumsikia kwa kupiga dili ndefu ndefu,sijawahi kusikia kahojiwa wala kuchukiliwa hatua za kisheria, sana sana anapewa kazi kubwa kubwa kama kutunga sheria nk.
 
Hivi leo wafanyabiashara wote wakiamka asubuhi na kukataa kulipa kodi ikiwa ni mgomo kufuatia kashfa hii nani atatakiwa kulaumiwa? Jersey serikali itawashtaki?
 
Kwanini mtanzania mwenzetu Andrew Chenge anatajwa katika kila tukio linalowaudhi watanzania wenzake? Kwani Chenge ni nani ndani ya CCM na taifa letu? Umuhimu wa Mh. Chenge kwa CCM na taifa ni upi? Mtandao wake una mizizi mirefu kiasi gani? Mbona hakamatiki?
 
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
....nliwahi kutoa angalizo dhidi ya chenge na uongozi nchini...lakini naona wananchi wenyewe wa taifa hili wana ignorance ya ajabu...maana mtu ambaye amefanya aliyofanya chenge na kuishia kila mara kuchaguliwa kuwa kiongozi bungeni kunaonyesha ignorance ya ajabu hata kwa wabunge wa ccm...maana hii inatoa taswira ya ajabu katika namna wabunge wa ccm walivyo wanafiki......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…