Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Time will tell and nature will counter check.Ningependa kumfahamu chenge kwa undani zaidi,maana maishu anayopiga siyo ya mchezo mchezo na huwa hapatagi kesi wala mashtaka ya kujibu, "how genius is this?"seems he know well to play samba in this country
Na sasa ni BOSS wa kutunga sheria !!!!!!!!!!Aliua dada wawili saa 9 za usiku,na gari aliyokua anaendesha pick up haikua na hata insurance akapona,EPA,Richmond,Escrow,BAE,ndege ya rais yote mastemind na majuzi Katiba
Mwenyewe annajitapa kuwa yeye ni nyoka mwenye makengeza, hahahaha..huyu mzee huyu ni noma
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Wanabodi,
Natanguliza kwa kuomba msamaha kutumia maneno makali, kwa hapa nchi yetu ilipofika, labda maneno makali kama haya, yatasaidia, to change for the better!.
We are ignorants, na wabunge wetu ni ignorants!.
Mnyonge Mnyongeni, haki yake mpeni, Mhe, Andrew Change, ni one of the best legal draftsmen we have kwenye Bunge letu, ila kufuati wengi wa wabunge wetu ni ignorants, wazo alilopendekeza jana, kuhusu drafting ya azimio la bunge, kumepelekea kikao muhimu sana cha bunge kuvunjika kwa ujinga tuu wa wabunge wetu!.
Naomba kukiri wazi, wazo la kuandika thread hii, limekuwa inspired na post ya Nguruvi3
Mkuu Nguruvi3,
Naomba kuanza kwa kudeclare my interest, Pasco wa jf ni ignorant, na anajijua ni ignorant, ndio maana ana comment ignorance kwenye public ya jf ili kila mtu ajue Pasco ni ignorant!.
Tanzania tuna ignorants, wengi, wengine wanajijua ni ignorants ila wanaamua kunyamaza bila kucoment ili hiyo ignorance yao, isijulikane, wengine ni ignorants ila hawajajijua kuwa ni ignorants, na kwa vile wako kimya, one can not tell na wenyewe hawajijui!, ila wengine ni iginorants, hawajijui kuwa ni ignorants, hivyo wanapofanya vitendo vya ignorance kama jana pale bungeni, wakitoka nje wanapongezana kwa ushujaa wa ignorance ile!, hawa wanahitaji kusaidiwa kujulishwa they are ignorants!, ili angalau sasa watumie brain zao to think kabla ya kusema na kutenda na sio kutumia feelings.
Watanzania tuna problem ya Ignorance!, ambayo hata wabunge wetu wetu ni ignorants tuu!, sasa huyu Chenge pamoja na ma ufisadi yake yote, ni mmoja wa watu sensible mule bungeni!, pendekezo lake la phrasing azimio lile was the best!. Chenge sio tuu ni mwanasheria wa Havard, bali kwenye sheria kuna maeneo mengi sana ya specialization inayohitaji kipaji fulani on top of being just a lawyer, moja ya enero gumu kabisa ni legal drafting!, ndio maana tulipota uhuru, sheria zetu zote tulicopy and paster "para materiale" (neno kwa neno) kutoka India, simpy because hatuna legal drafting people mule bungeni!, tukubali tukatae, Andrew Chenge is the best!, ametoa pendekezo ambalo ndio the best, lakini kwa vile bunge letu limejaa ma ignorants, ma ignorants hawa wakakataa pendekezo la Change, simply because Chenge ni fisadi, na pendekezo lake limeungwa mkono na Mwenyekiti wa PAC, Mhe. Zitto Kabwe!.
Kiukweli kilichofanywa jana na wale ma ignorants kule bungeni, ni display ya ignorance at the top level!, na kwa vile sisi Watanzania pia ni ignorants, tunashangilia ile ignorance!.
Naomba Chenge ahukumiwe kwa ugfisadi wake, which has nothing to do with uwezo wake wa the best legal drafting!.
Kila siku tunasisitiza humu, mnyonge, mnyongeni!, haki yake mpeni!.
Kuhusu Watanzania na Ignorance, nimeizungumzia hapa.
Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!.
Nasisitiza nimesema we are ignorants, sijasema we are stupid!.
Pasco