Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

I didnt know mtu mwenye estimated #3.5 m anafikiriwa masikini hapa Tanaanzia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi ifike kipindi,Kiba akubali Mond kamzidi na apambane kufika level alofika mond.Ili bongo kuwe angalau na wasanii wawili watatu wa kimataifa.

Kupambana kumshusha mmoja ili mwingine awe juu ni ulofa

ushauri wa bure
 
Hhhhhh mali ni kama matiti kuficha ni mgumu na ndio maana hata mzee wa kujificha millard ayo ameficha yote lakini maendeleo yake kama mikataba yake ya matangazo ,studio yake mpya ya kisasa , kumiliki ayo tv ambayo inamuingizia pesa ndefu ameshindwa kuficha kwa sababu maendeleo yako hayafichiki hhhh
 
Kuna jirani yangu nilikua namwona fala tu kisa anaendesha gari hafifu. Siku aliponionyesha cheti kimoja cha hisa za Swissport nikamheshimu.Huo mzigo uliokuwepo ni kama nusu ya net assets zangu. Na alikua na vingine vitatu; CRDB, TBL na TCC nafikiri.

Dont judge a book by its cover
 
Tungepata kapicha ka huo mjengo wa jirani yako

Sent from myself
 
Tungepata kapicha ka huo mjengo wa jirani yako

Sent from myself
Huyo uliyemjibu nahisi inabidi aende quarantine pamoja na chid benz aliedai amepiga collabo na tupac...akili zao hazitofautiani kabisa
 
Unampangia MTU mda wa kutoa ngoma aseee?

ushauri wa bure
Ushabiki humtia mtu upofu na uziwi wala hamuwezi kuona WCB wanavyofight kuhakikisha wanakuwa wao tu kwenye music,anyway basi kama Kiba wameshamzidi kwa kila kitu wala waspoteze muda kumdis kwenye ngoma na tweets

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Still diamond rocks, Alikiba yuko chini kiuwezo
Tunajua namna alikiba anavyowanyima usingiz WCB na mashabiki wake kabisa, kama diamond n levo za kina davido kinachomfanya amsemeseme Kiba ni nini? Anamhofia na mashabiki zake pia mnamuhofia Kiba that's every day u guys trying to find new way of attacking him, kuhusu Mali au mkwanja bro umepost a lot za upande wa diamond bt kwa Kiba hujapost hata kiatu anachomiliki this is bias, ulianza vizuuur bt mwishon ndo ukajidhihirisha kwamba n mtu wa timu Fulani na hapo ndio Uzi wako ulipopoteza legitimacy
 
Apart from that kwan n lazima mumlinganishe mtu wenu na Kiba? Mlinganishen na jux na wengne c wapo?, kila siku kibaaa kibaaa msanii n yy tu bongo? Na kwa hilo ndo mnajidhihirisha n namna gan mna hofu na huyu jamaa .
 
Apart from that kwan n lazima mumlinganishe mtu wenu na Kiba? Mlinganishen na jux na wengne c wapo?, kila siku kibaaa kibaaa msanii n yy tu bongo? Na kwa hilo ndo mnajidhihirisha n namna gan mna hofu na huyu jamaa .
Povu linakutoka mwenyewe......mnakeaha youtube ili kupambana na nani maana hamlali mmekuwa watumwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…