124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,813
- 5,514
I didnt know mtu mwenye estimated #3.5 m anafikiriwa masikini hapa TanaanziaKwasabab alikiba anatumia uchawi sana..skutegemea nyimbo mbaya kias hiki ipendwe na watu waishobokee namna hii,had nmehis muzik sasa wa bongo ni matumiz ya majin..na ndomana watu wameuchoka a minute after 3days toka siku ulivotoka,..nguv za giza na kimambi vilimsaidia..
Umetoa tathmin ya Diamond kwa kile unachokionaga kwenye mitandao ya kijamii, na kila ambacho hakioneshi je..?
Hukijui cha Ali kiba kwa sababu hakioneshi hadharani siku ukioneshwa je..?
na hiko unachokiona kwenye mitandao ya kijamii na kuiitra utajiri siku muhusika asipokuwepo kwenye ulimwengu wa kimwili ukiambiwa marehemu hakuwa na mali yoyote na watu wanaomzunguka utazungumza nini..?
Sent using Jamii Forums mobile app