Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

mo dewji is the billionare lakini maisha yake binafsi hayapo kwenye media walahata gari yake hatuijui anatumia gari gani lakini
jay z anavyojisifia kama Mungu kila kitu chake kinaonekana kwenye media lakini hata nusu ya mali mo dewji hazifikii
haya twende kwa floyd maywealther anapost picha amebebapesa kwenye torori lakini analess than $400 millions lakini dewji hatujawahi kumuona akifanya hivyo jamani haya mamboni hulka bandugu
 
Mkuu mimi namfahamu kiba zaidi yako nimeshaishi karibu na kwao kariakoo na pia nafahamu kuwa amepanga tabata na kule kunduchi pia alikuwa amepanga sasa tupost mali za kupanga?
post hata Meza na Tv anazomiliki
 
Mkuu acha kutudanganya gwajima hajanunua hiyo ndege bali alisema ana dream za kuileta tanzania lakini sio yake so kuwa mkweli na ukweli utakuweka huru
 
Kwahiyo unataka kusemaje, kwamba pimbikiba anazo kama za Dewji ila hapendi show-off?[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu acha kutudanganya gwajima hajanunua hiyo ndege bali alisema ana dream za kuileta tanzania lakini sio yake so kuwa mkweli na ukweli utakuweka huru
wewe kweli uko nyuma kweli TCCA JUZI WANATOA TAMKO LA NDEGE YA GWAJIMA HAKUTOA TAARIFA KWA WAKATII WAKAGUZI WAKAIKAGUE UKO NYUMA KWELI WEWE
 
Anakopanga pimbikiba tunapajua, juzi Shilawadu walituonesha walipoenda kwa ajili ya kumuhoji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uzi huu ni biased, weka na gari la kiba au kibanda alichopanga

au unataka utuambie kiba anapanda daladala na analala gesti? How can we compare?
 
Kwikwikwi, anajumba Tabata la maana, bro naishi Tabata nitajie eneo la jumba lake, nikapige Picha sasa hivi niipandishe hapa, Mpka nyumba anayoishi naijua, yeye hataki show off na nyinyi washabiki wake je?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baeleze baeleze mukulu[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwanini hizo nguvu za ziada hakuzitumia Kabla hajawa muimbaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muulize hata mpenzi wake wa sasa anamjua?
 
Kiba apambane na Aslay tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…