Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

mo dewji is the billionare lakini maisha yake binafsi hayapo kwenye media walahata gari yake hatuijui anatumia gari gani lakini
jay z anavyojisifia kama Mungu kila kitu chake kinaonekana kwenye media lakini hata nusu ya mali mo dewji hazifikii
haya twende kwa floyd maywealther anapost picha amebebapesa kwenye torori lakini analess than $400 millions lakini dewji hatujawahi kumuona akifanya hivyo jamani haya mamboni hulka bandugu
 
Mkuu mimi namfahamu kiba zaidi yako nimeshaishi karibu na kwao kariakoo na pia nafahamu kuwa amepanga tabata na kule kunduchi pia alikuwa amepanga sasa tupost mali za kupanga?
post hata Meza na Tv anazomiliki
 
jamani mafanikio sio lazima uwe mtu wa show off kila mtu na tabia yake diamond na ali kiba wote wasaani wazuri na wana mafanikio mfano tunaamini bila ya forbes kusema utajiri wa dewji hakuna mtu angeamini hilo jamani mlishawahi kwenda kwao dewji singida mimi nilichoka lakini ndio tajiri mwenye networth ya $1.4 billions
mfano gwajima juzi amenunua private jet gulfstream G450 ambayo serikali ilishindwa gharama zake kipindi cha kikwete ikabidi uuzwe sasa huyu tajiri wa Tanzania hata private jet hana anatumia commercial airlines mtu yoyote anioneshe nyumba ya dewji ya au gari au private jet kwenye picha
my concern is sio lazima kuweka maisha yako kwenye media saaana same applied to ali kiba kila mtu na hulka yake
my regards
Mkuu acha kutudanganya gwajima hajanunua hiyo ndege bali alisema ana dream za kuileta tanzania lakini sio yake so kuwa mkweli na ukweli utakuweka huru
 
mo dewji is the billionare lakini maisha yake binafsi hayapo kwenye media walahata gari yake hatuijui anatumia gari gani lakini
jay z anavyojisifia kama Mungu kila kitu chake kinaonekana kwenye media lakini hata nusu ya mali mo dewji hazifikii
haya twende kwa floyd maywealther anapost picha amebebapesa kwenye torori lakini analess than $400 millions lakini dewji hatujawahi kumuona akifanya hivyo jamani haya mamboni hulka bandugu
Kwahiyo unataka kusemaje, kwamba pimbikiba anazo kama za Dewji ila hapendi show-off?[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
post hata Meza na Tv anazomiliki
a44f7ccbd3e53ab0d68e5f865ae19180.jpg

Nyumba aliyokuwa amepanga ya kunduchi hiyo kipindi alipovamiwa wezi wakaishiwa kuvunja tu na hawakuchukua chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu acha kutudanganya gwajima hajanunua hiyo ndege bali alisema ana dream za kuileta tanzania lakini sio yake so kuwa mkweli na ukweli utakuweka huru
wewe kweli uko nyuma kweli TCCA JUZI WANATOA TAMKO LA NDEGE YA GWAJIMA HAKUTOA TAARIFA KWA WAKATII WAKAGUZI WAKAIKAGUE UKO NYUMA KWELI WEWE
 
jamani mafanikio sio lazima uwe mtu wa show off kila mtu na tabia yake diamond na ali kiba wote wasaani wazuri na wana mafanikio mfano tunaamini bila ya forbes kusema utajiri wa dewji hakuna mtu angeamini hilo jamani mlishawahi kwenda kwao dewji singida mimi nilichoka lakini ndio tajiri mwenye networth ya $1.4 billions
mfano gwajima juzi amenunua private jet gulfstream G450 ambayo serikali ilishindwa gharama zake kipindi cha kikwete ikabidi uuzwe sasa huyu tajiri wa Tanzania hata private jet hana anatumia commercial airlines mtu yoyote anioneshe nyumba ya dewji ya au gari au private jet kwenye picha
my concern is sio lazima kuweka maisha yako kwenye media saaana same applied to ali kiba kila mtu na hulka yake
my regards
Anakopanga pimbikiba tunapajua, juzi Shilawadu walituonesha walipoenda kwa ajili ya kumuhoji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uzi huu ni biased, weka na gari la kiba au kibanda alichopanga

au unataka utuambie kiba anapanda daladala na analala gesti? How can we compare?
 
Haya mambo Ndiyo Yale yale ya kushow off , huyo kiba kauza sana wimbo wake wa aje mwaka Jana kwenye mitandao na hasa audio, kaingiza pesa nzur mkataba wake na sonny , show zake za nje ulaya na marekani, juz juzi tu kapiga pesa ndefu sana huko kenya kwenye kampeni za akina odinga hasa Mombasa ( gavana joho )

Ukija kwenye video ( account za VEVO msaan kule analipwa kwa view zake ) ishu hapa ni mmoja anapenda kujionesha na mwingine ni kimya kimya hata kiba ana jumba lake la maana lipo pale tabata sema ni vile tu haongei , kampuni ya Rockstar ni yake sasa wanauza nyimbo na ishu zote za entertainment Africa lakin hujawahi kusikia akijisifu hata siku moja

Mfano mzuri wasaani wenye pesa ndefu afu wapo simple tu

Yupo A.y huyu ana pesa ( na ndiyo mtu wa kwanza kumtengenezea connection mond na akina davido ) huyu anamilik kipind cha mikasi na ana project zingine lakin huoni akijisifu hata siku moja

Mwisho niseme wote ni vijana na ni wapambanaji ila kila mtu na makuzi yake na tabia yake ya matumiz ya pesa

Wengine kwetu ni somo kuwa upate pesa upige kelele na show off au ukae kimya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwikwikwi, anajumba Tabata la maana, bro naishi Tabata nitajie eneo la jumba lake, nikapige Picha sasa hivi niipandishe hapa, Mpka nyumba anayoishi naijua, yeye hataki show off na nyinyi washabiki wake je?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili zako unafikiri Kiba ndiye atakua analipa kodi kubwa TRA kama Diamond sindio?

Kiba ana studio ila hajionyeshi sindio?

Kiba ana lebel yake mwenyewe ila hajionyeshi sindio?

Kiba anamiliki mijengo ila hajonyeshi sindio?

Kiba ana MANDINGA na aliteleza kuimba kwenye seduce me kwa bahati mbaya,kuliko Diamond sindio?

Acheni utani bhana,tuwe realistic.

Sent using Jamii Forums mobile app
Baeleze baeleze mukulu[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Siri ya diamod kuwa tajiri kwa akili ya kawaida tuu huwez kujua mpaka ukae chini uumize kichwa na uongezee na factor zangu utajua ni kwanin diamond anajiita simba jina ambalo marehem kanumba alikua akilitumia ukiachilia mbali jina lakn marehem kanumba alkua akitumia fimbo fulan iv ambayo diamond ameonekana pia akiitumka sipend kufunguka sana ila kwa kfupi ali kiba anamtegemea sana Mungu wakat diamond anategemea nguvu za ziada cpend kuendelea ncje kufa kabla ya cku zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini hizo nguvu za ziada hakuzitumia Kabla hajawa muimbaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchunguzi wako umelalia upande mmoja bila kujua watu tuna hulka tofauti,sio kila mtu anapenda kuanika yake hadharani.
Diamond ni mtu wa social networks ambapo sio kosa ndio maisha yake tupo wengi tu ambao siku moja pekee tunaweza piga picha hata hamsini ila kuna watu ambao anaweza maliza wiki hajapiga picha na sio kosa. Ninachoon hapo hilo ndio suala mali za Diamond tunazifahamu ila za Kiba hapana
Muulize hata mpenzi wake wa sasa anamjua?
 
Mkubali mkatae, Ali Kiba hana utajiri wa kumzidi Diamond na wala hamfikii ata thumuni. Diamond ana vitega uchumi vingi kama nyumba maeneo mbali mbali ya mji, endorsments na muziki wake mwenyewe ulivyo mkubwa.

Ali kiba anapambanishwa nae tu kwa chuki binafsi maana nae anajitutumua tu na watu wanampa bichwa ila ni wazi hawezi kumpiku diamond kimaisha na hata kimuziki kwa sasa.

Ishu ya utajiri hata hainaga haja ya makelele kwa maana umbea tu wa wabongo ungetosha ku reveal ukweli.Ushahidi wa matukio unatosha kudhihirisha hilo.
Kiba apambane na Aslay tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom