Pamoja na umaarufu alionao Wema Sepetu kwanini hana maendeleo yoyote, Anakwama wapi?

Wapi na lini wcb wameshawahi kumtumia ?
 
Wema hata umpe millioni mia sasahivi kesho utakuta anapost picha yuko zake china ananunua magauni ya kutokea pale 40/40 tabata hahahaaaa habadiliki yule ndo life aliochagua.
 
Yaani mimi ndo ningekuwa wema. ningeshafika hatua ya utajiri WA BAHRESA
.list yooote ya mwanaume alotembea nao.
Inamaana walikuwa hawamshauri chochote. Yaani wema ni kilaza mwenye elimu zake
Na mashabiki wake wengi ni maandazi maana hata wema akijisaidia hadharani watampamba haooo duuuh!
 
Na ndo umri una sogea (Age go),tatzo la WEMA hajitambui hata kidogo,angalia marafik zake alionao wote wapenda starehe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…