Pamoja na utandawazi kuenea lakini bado kuna watu wananunua antivirus, windows, software za kwenye CD madukani

kwani crackers hawaspend resources ku cracks hizo software?

mtu ambaye anauwezo wa ku bypass hicho ki software chako bila authority ya kutoka kwa admin au official developer unaanzaje kum underrate?

halafu kuwa developer haimaanishi kila kitu unachokifanya ukiuze (tena kwa bei ya kukomoana) mbona developer wa jamii forums hawatulipishi gharama yeyote pindi tunapo download app yao wakati nao wamespend mudawao pamoja na resources?

Kwanini swala la watu kupenda cracks software lihusishwe na umasikini halafu swala la developer kuweka malipo kwenye software yake lisimuhusishe na umasikini wake? kama yeye ni mkwasi why a demand pesa?

mzee naweza nikaimudu pc hata ya 1M ila ku purchase software ya 10k huku nikijua sehemu fulani naipata hiyo for free bila limitation siwezi kabisa kujaribu huo ujinga. Developer ambaye ameshindwa ku sruggle kujichanganya kitaa akaamua atumie kuuza software kama fursa ya kutoboa ana safari ndefu sana katika hizi zama za teknohama yenye wabobezi waliobobea ku hack, crack, bypass paid software
 
Seems we are not communicating,why doesn't that cracker develop his/her original software rather than crack other people's works?
We are dealing with what is :
Legal vs ethical
Illegal vs ethical
Illegal vs unethical
Legal vs unethical
And all the four scenarios revolve around morality issues.
 
naye huyo developer kwanini hakuweka ulinzi kwenye kazi yake mpaka manyau wanakuja kui crack?

unaweza ukauziwa na bado ukawa umeibiwa so hiyo kwako ni legal?

kwanini nitoe pesa ninunue software kisha uniwekee mipaka ya matumizi kwamba features fulani hautaipata halafu swala hilo liwe legal?

mfano mzuri mtumiaji wa kaspersky ya kulipiwa anakua yupo limited nawakati kailipia pesa, sasa hiyo inakujaje halali? wakati nje na hapo kuna wadananda wanakupatia mzigo kama huo wenye full package usio kua na vikwazo
 

With all due respect,from your words,there is a very clear indication that your knowledge of ICT is not only shallow but it's non existent.
Thank you very much for your contribution that has exposed how little you know about ICT and also general ethics
 
kwani wapi mi nimejigamba kwamba naijua sana ICT?

halafu unataka kutengeneza hoja ionekane yeyote anayepingana na hoja zako haijui ICT
 
Sio kununua tu CD ata wewe ambae una download Antivirus unaonekana bado mshamba..kuna njia 1 matata sana ya kuuwa virus zote bila software sema suu nkupe iyo njia
 
Unachanganya kati ya umasikini na utandawazi, nyie bongo hamnunui original software ni kwa sababu masikini torrent zinawaokoa.



USA simu yako ama laptop maafisa wakiikutwa na torrent app mzee Miez 6 inakuhusu Jela, No bail.
Kule yeyote anayehusika na mambo illegal mtandaoni lazima atakuwa na VPN ya maana.
 
Na kuna suala la uizi wa taarifa kwenye kifaa chenye cracked Apps. Watu wengi hawajui hilo. Mimi nina pc&simu natumia kwa cracked apps tu. Ila zile nyingine naweka apps ambazo ni salama kabisa kwa ku download kutoka stores rasmi.
 
natumia Kaspersky Pure 3.0 kwa miaka sasa, natumia trial ya 30-days ikiisha natumia resetter program , inaanza trial upya

software pekee nimewahi nunua ni Connectify, ilikua $50 kitambo icho , kwa licence ya lifetime
Nieleweshe vzr kuhusu hii resetter program

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…