Pamoja na utandawazi kuenea lakini bado kuna watu wananunua antivirus, windows, software za kwenye CD madukani

hiyo ndio changamoto ya utandawazi hauwezi kuwa shujaa bila adui

developers wanaoweza kutoboa kwenye hizi zama hao ndio ma fighters
 
Cheki mshamba huyu.
Sio "salama" utadhan ana-very confidential & critical information kwenye computer yake.
Zaidi ya copy za vyeti na CV, unakuta kajaza movies tu.
Yaani hii hoja nayo ni yakushangaza sana, unakuta mtu pc yake kajaza series tu na virtual dj kwa ajili ya ku play singeli halafu naye anakuja ku criticize cracks kwamba sio salama hivyo ana prefer paid software
 
Mimi miaka yotee natumia pirated and cracked software lakini sijawahi pata shida yoyote.

Wewe ulikutwa na nini mpaka useme hivyo?
hapo chini umeuliza swali lamsingi sana, ni information gani ziliibiwa au password za account ya bank gani zilichukuliwa na ulipata hasara ya bei gani kiasi uone crackers ni unsafe

nataka watoe experience zao na sio kusimulia effect zilizoandikwa kutoka kwenye sites za ma developers ambao wanatafuta ulaji kwa kupandikiza dhana ya kuogofya ili mradi watu wanunue softwarezao
 
Kuna mmarekani alikuja home akamkuta jamaa anaistall Ms office ya 2007 kwny laptop nayeye aliazima kwa mshkaji mwingine

Yule Mzungu akashangaa sana kusikia tunashare software kienyeji tu na hakuna mamlaka ya kutukataza
huyo mmarekani yani kushare software tu kulimfanya ashangae....ama kweli anashangaza

je angeona matozi wa mtaa wanaovyo share pamba je?
 
Hizi cracks kuna wakati kweli huwa msaada na kuna wakati huwa kilio kwa mtumiaji.

Cracker anawezatengeneza hiyo kitu akiwa na lengo zuri na ikawa msaada kwa yule asiyeweza ama asiyetaka kununua genuine software.

Sasa shida huja pale ambapo wale jamaa wa ku-inject malwares na adwares wanapoichukua hiyo crack na kui-modify kwa kuiwekea codes mbaya ambazo ukianza kuitumia tu hiyo crack hizo codes zina-run na kuanza kufanya kazi alizozikusudia huyo mtu mbaya.

Hapo sasa tunapata cracks mbili zenye jina moja zikidhaniwa kuwa ni ileile ya awali, kumbe moja ni salama na nyingine si salama kwa mtumiaji.

Sasa kilio kitakufika siku ukikutana na crack iliyowekewa codes za ku-encrypt files zilizomo kwenye PC yako ingawaje hizo codes zaweza patikana mahali pengine ambapo siyo kwenye crack.


NB: Kumbuka kwamba nyingi za cracks ili uzitumie mpaka u-disable antivirus na hapo ndipo panapopatikana fursa ya ku-run zile codes mbaya wakati mlinzi wa PC yako unapokuwa umemsinzilisha mwenyewe kwa mikono yako.



Ni juu yako sasa jinsi unavyochukulia uzito wa kuilinda pc yako na data zako.
Kama hakuna cha maana humo go with cracks na kama kuna cha maana humo basi na kikuhusu wewe mwenyewe.

Ila sidhani kama kuna mahali ndani ya hii 'siledi' nimezuia mtu asitumie cracks.
Hata mimi ninazo kibao tu.

Sent from my cupboard using mug
 
CRACK & PATCH FOR LIFE.
 
Mimi kitu ninachoogopa ni kutumia antivirus iliyocrakiwa labda nipate license key yake hapo angalau.

Siku za hivi karibuni nilidownload Malwarebytes ikiwa na 14 days of trial ili angalau isaidiane na windows defender.

Kwa kweli niliifurahia ingawaje niliwahi kuitumia kipindi cha miaka ya nyuma pia nikaipenda.

Sasa trial ilivyoisha nikatafuta key zake lakini system za malwarebytes zikasema hizo key ziko blacklisted nikajaribu kuzisaka bila mafanikio.

Kilichofuata nikatafuta mbadala wa malwarebytes ambayo pia niliwahi kuitumia kipindi cha nyuma. SuperAntiSpyware

Basi nikatafuta key zake nikaingiza nikaiupdate ikaleta majibu kwamba key nilizotumia counts yake imekuwa exceeded. Basi ikajiswitch kwenda free version, nikarudia tena kuziweka kitu kikaitika na kuwa LIFETIME Professional Subscription.

Hiyo yote ni kukwepa antivirus iliyocrakiwa. Ila soft zingine zilizo cracked huwa natumia.


Sent from my cupboard using mug
 
Reactions: Pep
Mzee hizo keys ulilipia au ulizipata kwenye sites zimewekwa bure tu?

Mkuu kama hukulipia hizo keys umezikuta tu kwenye blogs/sites na sio official site ya software husika halafu umepata lifetime licence hapo bado uko kwenye circle ya cracking
 
N
Nyie ndo ma hackers
Eti cracking softwares....huo ni wizi
 
Hizo crack mnazipata wapi?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mzee hizo keys ulilipia au ulizipata kwenye sites zimewekwa bure tu?

Mkuu kama hukulipia hizo keys umezikuta tu kwenye blogs/sites na sio official site ya software husika halafu umepata lifetime licence hapo bado uko kwenye circle ya cracking
Pamoja na hiyo, key haiwezi kufanya uharibifu wala kuiba data labda kama unamaanisha keygen (key generator)

Sent from my cupboard using mug
 
Samahani na tumia IDM (internet download manager) kwenye pc ss inataka key product mwenye maujanja hapo
 
Unachanganya kati ya umasikini na utandawazi, nyie bongo hamnunui original software ni kwa sababu masikini torrent zinawaokoa.



USA simu yako ama laptop maafisa wakiikutwa na torrent app mzee Miez 6 inakuhusu Jela, No bail.
Kiuhalisia uzi ulitakiwa uishie hapa.
 
Mkuu mimi sijaelewa hapo. Yaani kwa mfano mimi ni mpenzi wa Fl Studio natoa hela yangu mfukonu nalipia leseni nitumie ili nifanikishie kazi zangu inakuaje matumizi mabaya ya fedha?

Au tuseme kuna kiatu nimekipenda basi nikiibe ili nisave pesa?!

Sio kwamba situmii Cracks, natumia sana. Vile tu mambo hayajakaa sawa ila naamini ntaachana nazo tu. Kama umepitia programming hata kwa ufupi utagundua hawa jamaa hawastahili tunachowatendea.
Hatukatai tunaishi kwenye ulimwengu wa dhambi ila inapotokea umepata nafasi ya kumfurahisha Mungu itumie vizuri.

Anyway jaribu kupitia kwa hawa ndugu zetu wa quora wamediscuss vizuri tu madhara ya cracked software.

 
Hata mimi natumia windows defender na toka nimenunua PC sijapata tatizo kabisa huu mwaka wa 3.
Mimi hiyo defender nimeidisable kabisa. Kazi zangu hazipati na Ma-antivirus.

Ile chunga sana usikutane na njemba zinazoitwa Ramsoware utakuja kusimulia.
 
Watu hawajui tu hizi Ms Office, Windows, Adobe n.k zipo kwa sababu kuna wachache wananunua. Lakini cha ajabu zaidi wanasimangwa eti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…