kyaibumba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 744
- 1,080
Juzi nilienda lviv japo ilikuwa naaminishwa kuwa wanaume wakiingia hawaruhusiwi kutoka, Lakin nimeingia nikatoka kawaida watu shughuli zao zinaendelea kawaida tu
Ila maeneo ya Mashariki huko dnipro ! Khakive ndo kuna shida mizinga wanaisikia kawaida
tumeruka music na mke wangu na familia then tukarejea home
Ila maeneo ya Mashariki huko dnipro ! Khakive ndo kuna shida mizinga wanaisikia kawaida
tumeruka music na mke wangu na familia then tukarejea home