Kapicha na mkeo tafadhali!Juzi nilienda lviv japo ilikuwa naaminishwa kuwa wanaume wakiingia hawaruhusiwi kutoka, Lakin nimeingia nikatoka kawaida watu shughuli zao zinaendelea kawaida tu
Ila maeneo ya Mashariki huko dnipro ! Khakive ndo kuna shida mizinga wanaisikia kawaida
tumeruka music na mke wangu na familia then tukarejea home
Mmeingia mkitokea wapi?Juzi nilienda lviv japo ilikuwa naaminishwa kuwa wanaume wakiingia hawaruhusiwi kutoka, Lakin nimeingia nikatoka kawaida watu shughuli zao zinaendelea kawaida tu
Ila maeneo ya Mashariki huko dnipro ! Khakive ndo kuna shida mizinga wanaisikia kawaida
tumeruka music na mke wangu na familia then tukarejea home
Wabeba magodoro huwa ni Wakongo. Hata mbuzi, sufuria huku wakishikilia miwa mkononi. Mungu awasaidieKipindi kile vita inaanza sikuona wakimbizi wa Ukraine wakibeba magodoro huku wakiwa kwenye misafara na familia zao.
Wenzetu wanapigana vita kama wapo disco
Mbona unaweza na ukaziba suraMmm Hapa ni anonymous siwezi weka picha mkubwaa