Pamoja na watu kusoma vyuo vya biblia, bado hali ya kiroho ni mbaya kwenye makanisa ya kiroho!

Pamoja na watu kusoma vyuo vya biblia, bado hali ya kiroho ni mbaya kwenye makanisa ya kiroho!

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Swali kwenu watumishi wa mungu maaskofu mitume manabii wainjilist walimu wachungaji nk!

Utafiti unaonyesha pamoja na watumishi mungu wengi wa maaskofu mitume manabii wainjilist walimu wachungaji nk kusoma vyuo vya biblia bado hali ya kiroho ni mbaya kwenye makanisa ya kiroho!

Sasa je tatizo lipo wapi ni vyuo vya biblia vimeshindwa kufundisha kweli ya neno la mungu ili watumishi wa mungu waelewe na walete mabadiliko ya kiroho kwenye makanisa ya kiroho?

Au tatizo lipo kwa watumishi wa mungu maaskofu mitume manabii wainjilist walimu wachungaji nk hawaelewi wanacho fundishwa na vyuo vya biblia ndio maana hakuna hali mbaya ya kiroho kwenye makanisa ya kiroho?

(by mtumishi amani malima)🤔
 
SWALI KWENU WATUMISHI WA MUNGU MAASKOFU MITUME MANABII WAINJILIST WALIMU WACHUNGAJI NK!

UTAFITI UNAONYESHA PAMOJA NA WATUMISHI MUNGU WENGI WA MAASKOFU MITUME MANABII WAINJILIST WALIMU WACHUNGAJI NK KUSOMA VYUO VYA BIBLIA BADO HALI YA KIROHO NI MBAYA KWENYE MAKANISA YA KIROHO!

SASA JE TATIZO LIPO WAPI NI VYUO VYA BIBLIA VIMESHINDWA KUFUNDISHA KWELI YA NENO LA MUNGU ILI WATUMISHI WA MUNGU WAELEWE NA WALETE MABADILIKO YA KIROHO KWENYE MAKANISA YA KIROHO?

AU TATIZO LIPO KWA WATUMISHI WA MUNGU MAASKOFU MITUME MANABII WAINJILIST WALIMU WACHUNGAJI NK HAWAELEWI WANACHO FUNDISHWA NA VYUO VYA BIBLIA NDIO MAANA HAKUNA HALI MBAYA YA KIROHO KWENYE MAKANISA YA KIROHO?

(By Mtumishi Amani Malima)🤔
ELIMU YA KIROHO-ROHO MTAKATIFU=0
 
Walipoanza kusoma vyuoni tu hali ya kiroho ikawa mbaya. Bora zamani wale ambao hawakusoma walikuwa na kiroho cha hali ya juu
 
Eti Roho Mtakatifu ni wa kusomewa chuoni? Wokovu ni wa kusomewa chuoni? Mungu ni wa kusomewa chuoni upate certificate, diploma, shahada? Theolojia ni abrakadabra kama zilivyo abrakadabra zingine tu. Ni kosomea saikolojia tu za kutawala fikra za watu wala Mungu hayupo kwenye masomo hayo ya kidunia kama mengine ya kawaida anayesomea mtu ili aajiriwe
 
Mambo ya dini ni ulaghai tupu!, imani ni sawa na ugonjwa wa akili tu na huko ni kutapatapa maana binadamu baadhi wanafikiri kuamini kunapelekea kukatua shida zao kadhaa kadhaa!. kumbe wapi ni ulaghai na hayo maswala ya kiroho na imani ni biashara kama biashara nyengine tu!, hazina pakukupeleka zaidi yakuchukua chochote kitu kutoka mifukoni mwako!.

Watu watakuja kukaa sawa pale ustaarabu utakapoimarika zaidi, haswa kiakili. kama jamii haina ustaarabu wa kiakili ati mpaka mtumie imani kutishiana ndo muishi kwenye mstari jueni bado mpo kwenye kipindi cha mpito katika ukuaji na lolote linaweza kuwakuta!.

Ukiwa mstaarabu haihitaji imani kukuongoza ili uishi vizuri.
 
Zamani dhambi zilikemewa balaa, watu walitengwa sana kutokana na kuendeleza dhambi zao. Siku hizi ukitenga watenda dhambi utapunguza mapato. Siku hizi ngumu kutofautisha mtenda dhambi na mteule wote wanafanana na hawaogopi dhambi
 
pamoja na allah kumtelemeshia Quran mtume muhamad lakini bado hali ya waumini ni dhoofu al hali!
Lazima iwe hivyo kwamaana imani ama dini haziwezi kumrekebisha mtu awe mstaarabu!, inahitajika elimu ambayo itaweza kuamsha hali ya ustaarabu hapo vitu vitakuwa simple!.
 
Biblia ni hekaya za Abunuwasi.

Hakuna roho.

Hakuna Mungu .

Mambo ya kiroho ni udanganyifu na Utapeli.

Mungu hayupo.

Shetani hayupo.
 
Swali kwenu watumishi wa mungu maaskofu mitume manabii wainjilist walimu wachungaji nk!

Utafiti unaonyesha pamoja na watumishi mungu wengi wa maaskofu mitume manabii wainjilist walimu wachungaji nk kusoma vyuo vya biblia bado hali ya kiroho ni mbaya kwenye makanisa ya kiroho!

Sasa je tatizo lipo wapi ni vyuo vya biblia vimeshindwa kufundisha kweli ya neno la mungu ili watumishi wa mungu waelewe na walete mabadiliko ya kiroho kwenye makanisa ya kiroho?

Au tatizo lipo kwa watumishi wa mungu maaskofu mitume manabii wainjilist walimu wachungaji nk hawaelewi wanacho fundishwa na vyuo vya biblia ndio maana hakuna hali mbaya ya kiroho kwenye makanisa ya kiroho?

(by mtumishi amani malima)🤔
Hali mbaya maana yake nini
 
Naona bora kutokusoma tu ili ubaki na imani. Wanaposoma sana na kuchimbua wanakutana na contradictions, zinawafanya wapungukiwe imani
 
Askofu ana phD ya theolojia anafundisha waumini hawana hata certificate ya theolojia, anasikilizwa yeye tu ndiye mjuaji wa imani. Sasa hapa si anaweza kuwapotosha ngumbaru wasiweza hata kutumia common sense?
 
Swali kwenu watumishi wa mungu maaskofu mitume manabii wainjilist walimu wachungaji nk!

Utafiti unaonyesha pamoja na watumishi mungu wengi wa maaskofu mitume manabii wainjilist walimu wachungaji nk kusoma vyuo vya biblia bado hali ya kiroho ni mbaya kwenye makanisa ya kiroho!

Sasa je tatizo lipo wapi ni vyuo vya biblia vimeshindwa kufundisha kweli ya neno la mungu ili watumishi wa mungu waelewe na walete mabadiliko ya kiroho kwenye makanisa ya kiroho?

Au tatizo lipo kwa watumishi wa mungu maaskofu mitume manabii wainjilist walimu wachungaji nk hawaelewi wanacho fundishwa na vyuo vya biblia ndio maana hakuna hali mbaya ya kiroho kwenye makanisa ya kiroho?

(by mtumishi amani malima)🤔
Fafanua Hali mbaya ya kiroho ni kitu gani
 
Back
Top Bottom