Pamoja na watu kusoma vyuo vya biblia, bado hali ya kiroho ni mbaya kwenye makanisa ya kiroho!

Pamoja na watu kusoma vyuo vya biblia, bado hali ya kiroho ni mbaya kwenye makanisa ya kiroho!

Ukitaka kujua mungu yupo anzia hapa
1)binadamu tupo
2)binadamu tuna ufahamu (nafsi)
3)binadamu ni energy au la ?
4)even matter is energy
5)everything is energy

Hizi hoja 5 tu zinatosha kuthibitisha Mungu yupo kwa asilimia 100% pasipo kuacha shaka yoyote nyuma.
Hii ni logical fallacy inaitwa non-sequitur.

Unaunganisha vitu tofauti visivyokuwa na uhusiano wowote ule, kuunda hitimisho potofu.

Hakuna uhusiano wowote kati ya energy, matter na huyo Mungu.

Mthibitishe huyo Mungu yeye kama yeye, bila KUMHUSISHA na kitu chochote kile.
 
Back
Top Bottom