Pamoja na watu kusoma vyuo vya biblia, bado hali ya kiroho ni mbaya kwenye makanisa ya kiroho!

Swali kwenu watumishi wa mungu maaskofu mitume manabii wainjilist walimu wachungaji nk!

Utafiti unaonyesha pamoja na watumishi mungu wengi wa maaskofu mitume manabii wainjilist walimu wachungaji nk kusoma vyuo vya biblia bado hali ya kiroho ni mbaya kwenye makanisa ya kiroho!

Sasa je tatizo lipo wapi ni vyuo vya biblia vimeshindwa kufundisha kweli ya neno la mungu ili watumishi wa mungu waelewe na walete mabadiliko ya kiroho kwenye makanisa ya kiroho?

Au tatizo lipo kwa watumishi wa mungu maaskofu mitume manabii wainjilist walimu wachungaji nk hawaelewi wanacho fundishwa na vyuo vya biblia ndio maana hakuna hali mbaya ya kiroho kwenye makanisa ya kiroho?

(by mtumishi amani malima)🤔
Shida watumishi sasahivi wengi hawana wito wamefanya injili ni kitega uchumi chao.
 
Zamani dhambi zilikemewa balaa, watu walitengwa sana kutokana na kuendeleza dhambi zao. Siku hizi ukitenga watenda dhambi utapunguza mapato. Siku hizi ngumu kutofautisha mtenda dhambi na mteule wote wanafanana na hawaogopi dhambi
Dhambi ni nini?
 
Thibitisha Mungu hayupo i.e elezea universe na vilivyomo vimetokeaje
Falsafa ya uthibitisho inamtaka anayedai kitu kipo, ndio atoe uthibitisho wake.

Madai ya kwamba Mungu yupo, yalianzia kwenu nyie Theists(waamini Mungu). Kwa hiyo jukumu la kuthibitisha ni la kwenu.

Sisi Atheists(Wakana Mungu) tunapinga na kukanusha madai yenu ya kwamba Mungu yupo. Ndio maana tunasema Mungu hayupo.

Hivyo wakuthibitisha Mungu yupo ni nyie.

Ukishindwa kuthibitisha Mungu yupo ni kwamba madai yako ya kwamba Mungu yupo ni uongo, na huyo Mungu unayedai yupo, Hayupo.

Anything asserted without evidence can dismissed without evidence.

Una elewa wewe?

Burden of proof (law) - Wikipedia Burden of proof (law) - Wikipedia
 
Naomba nichangie,...
Kusoma vyuo vya biblia au theolojia siyo salama na hiyo ndiyo sababu kuu ya uduni kiroho. Kama kuna mtumishi amepitia vyuo na anavitumia kuendesha huduma, asilimia 99.5 hayuko salama. Watumishi hawatengenezwi na vyuo
Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu.Waefeso 4*11
 
Falsafa ya uthibitisho inamtaka anayedai kitu kipo, ndio atoe uthibitisho wake.

Madai ya kwamba Mungu yupo, yalianzia kwenu nyie Theists(waamini Mungu). Kwa hiyo jukumu la kuthibitisha ni la kwenu.

Sisi Atheists(Wakana Mungu) tunapinga na kukanusha madai yenu ya kwamba Mungu yupo. Ndio maana tunasema Mungu hayupo.

Hivyo wakuthibitisha Mungu yupo ni nyie.

Ukishindwa kuthibitisha Mungu yupo ni kwamba madai yako ya kwamba Mungu yupo ni uongo, na huyo Mungu unayedai yupo, Hayupo.
Huku ni kukwepa,tuachane na burden of proof,tuambie universe na ilivyovibeba vilitokeaje?(Kanusha uumbaji) Kwa wewe unayesema hakuna muumbaji
Maana kama unakataa hakuna muumbaji,sema viumbe vilikujaje?
Anything asserted without evidence can dismissed without evidence.

Una elewa wewe?
Brother,pua ilijuaje kuna oksijeni duniani ikakaa pale Ili uvute hewa u-survive?
Macho yalijuaje kuwa duniani kuna mwanga yakakaa pale uone?
Burden of proof (law) - Wikipedia Burden of proof (law) - Wikipedia
 
Huku ni kukwepa,tuachane na burden of proof,tuambie universe na ilivyovibeba vilitokeaje?(Kanusha uumbaji) Kwa wewe unayesema hakuna muumbaji
Maana kama unakataa hakuna muumbaji,sema viumbe vilikujaje?
Viumbe ni self-existing.

Tunazaliana wenyewe kwa wenyewe. Hatukuumbwa na yeyote. Na wala hatuhitaji muumbaji.

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na muumbaji wake, Hata muumbaji wa kila kitu atahitaji kuwa na muumbaji wake mwingine.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu, pasipo kuwa na muumbaji.

Hivyo kutakuwa na msururu mrefu wa waumbaji wengi wasio na mwisho.
Brother,pua ilijuaje kuna oksijeni duniani ikakaa pale Ili uvute hewa u-survive?
Macho yalijuaje kuwa duniani kuna mwanga yakakaa pale uone?
We are self-existing.

Tunazaliana wenyewe kwa wenyewe hapahapa Duniani.

Hatukuumbwa na yeyote.

Hatujatoka popote. Tumekuwepo Duniani siku zote.

Una elewa?
 
Zamani dhambi zilikemewa balaa, watu walitengwa sana kutokana na kuendeleza dhambi zao. Siku hizi ukitenga watenda dhambi utapunguza mapato. Siku hizi ngumu kutofautisha mtenda dhambi na mteule wote wanafanana na hawaogopi dhambi
zamani hizo naona waimba kwaya wanapigana mimba wwnatengwa siku hizi masingle maza wanahudumu tu.... na vichanga... mchungaji anasimamishwa utumishi kumpa mimba mke wa mwinjilisti...
 
Wanasoma kwa status tu! Ili wafike level ya phd wajiite madokta.
Walokole kuomba kwa sauti, vilio hadi makamasi ni 10 ila matendo mema 0
 
Shida watumishi sasahivi wengi hawana wito wamefanya injili ni kitega uchumi chao.
Pia wanashindana kila mtu anataka kanisa lake lionekane bora kuliko la mwenzake.

Kuna muumini alipata ajali akitokea kwenye mkesha wa mwamposa yupo hospital inahitajika pesa ya kumfanyia op, kanisa lake limegoma kutoa mchango kisa alienda kwa mwamposa.
 
Falsafa ya uthibitisho inamtaka anayedai kitu kipo, ndio atoe uthibitisho wake.

Madai ya kwamba Mungu yupo, yalianzia kwenu nyie Theists(waamini Mungu). Kwa hiyo jukumu la kuthibitisha ni la kwenu.

Sisi Atheists(Wakana Mungu) tunapinga na kukanusha madai yenu ya kwamba Mungu yupo. Ndio maana tunasema Mungu hayupo.

Hivyo wakuthibitisha Mungu yupo ni nyie.

Ukishindwa kuthibitisha Mungu yupo ni kwamba madai yako ya kwamba Mungu yupo ni uongo, na huyo Mungu unayedai yupo, Hayupo.

Anything asserted without evidence can dismissed without evidence.

Una elewa wewe?

Burden of proof (law) - Wikipedia Burden of proof (law) - Wikipedia
Mbona swala la kuwepo kwa mungu linajulikana hata kisayansi au na wewe ni msomi feki wa UDI MZIMU
 
Golgotha maana yake ni fuvu la kichwa. Fuvu ndiko kuliko na ubongo/akili. Ukianza kutumia akili kujifunza mambo ya kiroho huko ni kupotea. Mambo ya rohoni hujulikana kwa jinsi ya rohoni, Mungu ni roho, nao wamuabudio imewapasa kumuabudu katika roho na kweli
 
Mbona swala la kuwepo kwa mungu linajulikana hata kisayansi au na wewe ni msomi feki wa UDI MZIMU
Lete uthibitisho wa kisayansi unaosema Mungu yupo.

Usilete imani za wanasayansi.

Maana hata wanasayansi wapo ambao walikuwa na imani zao za Mungu.
 
Ukitaka kujua mungu yupo anzia hapa
1)binadamu tupo
2)binadamu tuna ufahamu (nafsi)
3)binadamu ni energy au la ?
4)even matter is energy
5)everything is energy

Hizi hoja 5 tu zinatosha kuthibitisha Mungu yupo kwa asilimia 100% pasipo kuacha shaka yoyote nyuma.
 
Back
Top Bottom