Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Kwa aina ya maraisi wengine waliopita na pale ambapo walitaka jambo lao litimie, mpaka sasa tungeshasikia habari za watu kupotezwa, kung'olewa kucha n.k
Ila kwako naona ni tofauti, mpaka sasa, nchi ni shwari, kila mtu anasema anavyotaka, hakuna aliyepotezwa, hakuna aliyeng'olewa kucha.
Hivi ndivo wana demokrasia tunataka mambo yawe. Watu wapewe uhuru wa kufanya dialogue bila vitisho. Kwenye mawazo ya wengi, ndo kuna mawazo ya Mungu.
Na hivi ndivyo demokrasia inavyochangia maendeleo - 'free dialogue and constructive criticism'