Pamoja na Yote, Hongereni Simba SC

Pamoja na Yote, Hongereni Simba SC

Pamoja na KUTOLEWA, Simba imecheza Classic Game. CONGRATULATIONS.[emoji322][emoji898]

FINANCIAL STABILITY yao inaongezeka sana kwa kushiriki hizi HATUA.

MAPENDEKEZO
1. Gomes ni Kocha Mzuri, Simba iendelee nae.
2. Nadhani Simba itafute Forward mwenye uwezo na mbinu . Kama Simba ingekuwa na Forward kama wale wa Ahly, leo kwa mara ya kwanza Historia INGEANDIKWA.

Mugalu HAPANA, ni BIG NO ! Mugalu hana TALENT ya mpira kama Morrison au Luis.Nunueni forward mwenye uwezo wa kufunga goli kwenye IMPOSSIBLE ANGLES. That is what Simba( MNYAMA) lacks.

3. Usajili wa Beki UZINGATIE na VIMO. Kuwe na AverageHEIGHT angalau 178 cm tall .
Djuma Shabani.

4. Nadhani pia Wawa ameshaanza KUCHOKA, mtaangalia namna ya kufanya nyie wenyewe.
5. Manula na CHAMA wanahitaji msaidizi, pengine bora zaid yao. Chama ni bishoo kama yule Bwalya wa Ahly, hawapaswi kucheza dakika 90 , kuna moment wanazi cost timu sana. REPLACEMENT AT SOME POINT ni lazima.

6. Kikosi KISIBOMOLEWE, wachezaji kama Morrison, Luis, Bwalya na wale wengine ambao ni CREAMS WASIUZWE. Makosa haya yalifanywa na As Vita na MAZEMBE,? Building CHEMISTRY iliyopo sasa sio kazi ya OVERNIGHT. kikosi kiboreshwe maeneo MUHIMU tu

7. RIPOTI ya kocha juu ya mapendekezo yake kuhusu REFORMS ya timu IHESHIMIWE. Simba mnatabia ya KUCHAMBIA recommandations za makocha.
———————————
Utopolo wenzangu tupunguze majungu , mpira wa sasa sio blah blah ni INVESTMENT na STRUCTURE, sio kulalamika lalamika kama mke aliye TALIKIWA. Simba mpaka sasa kaingiza Bilioni zaidi ya 3 , sisi UTOPOLO tumeingiza ngapi,?

Uwezekano wa SIMBA SC kucheza tena Robo fainali mwakani ni zaidi ya asilimia 60%, sisi UTOPOLO ni ngapi....? Ifike mahali YANGA tu FOCUS kwenye mambo ya MSINGI, MPIRA NI BUSINESS, otherwise tutaendelea kuwaangalia SIMBA wakila CAKE ya CAF kila mwaka. Pengine tunahitaji kubadili JINA, hili jina la YANGA ni BAYA na linatu cost, halipo KIMPIRA na limekaa KIZARAMO.

Mwisho, Nawapongeza sana SIMBA SC, wachezaji na benchi la ufundi for the good fight na kuendelea kutujengea HESHIMA ya SOKA letu EAST AFRICA. tumeona leo Cavin Hunt alivyokuwa anasali sala zote mpira uishe, KICHEKO CHA DHARAU KILIPOTEA LEO , hii ni ishara GOMES akipewa uwezo , hakika anaipeleka SIMBA fainali, time will tell!
Mipango ya nje ya uwanja vipi iboreshwe au ibaki vile vile?
 
Leo mimi kwa simba ni [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kiukwel umenena kaka ,Simba inahitaji maboresho madogo sana ili kuwa fit mara dufu , toa wafuatao hapo simba
Mugalu
Wawa
Mkude
Ajibu
Leteni mashine mpya kabisa mfano hawa wafuatao

Dube
Juma wa As vita
Na Ambao wengine mtakao ona wanafaa hasa mjipange mlete foward mbili ambazo sio za kuunga unga ,leten beki wawii wa maana wa kati mkifanya hivyo biashara kwisha .

Ila chonde chonde Simba isije jaribu kuwauza au kuachana nao wafuatao.

Morrison
Bwalya
Chama
Konde boy.Hawa ndio injin ya Simba ,pia Simba wasije leta ujinga wa kuachana na huyu kocha Da Rosa ,ni bonge moja la kocha ikiweaekana wamuongeze salary kabisa jamaa ni fundi mno ,Narudia Tena wasijekwazana kabisa na huyu kocha anatutosha huyu mbaba tukomae nae kwenye shida na raha ipo siku atakuja tuletea kitu ambacho hatukuwah fikiria kukipata hivi karibun
 
Hizo Mugalu , Ajibu , Wawa, Mkude ziende huko Yanga na Azam. Tena waanze kumfukuzia mbali huyo Mugalu na Mkude ni TAKATAKA kabisa. Ajibu na Wawa ni Mavi Mavi ... tupia huko.

Ama kwa hiyo RETENTION ya Chama, Morrison, Luis na Bwalya , na Gomes , naungana na wewe. Hakika wakifanyia hayo ya kina Djuma Shaaban, na huyo mwingine, mwakani FAINALI.

Chikwende naona ame hold capital ya timu tu , siamini katika come back yake , aende AZAM tu
 
Aisee kweli morisson ni tofauti na wachezaji wengine wanaopigiwa debe pale simba...
Shida yenu nyie watanzania ni JUDGMENTAL. Why can’t you accept him as he is . Yule ndio mchezaji BRIGHT pale Simba kuliko yoyote. Anacheza mpira kwa brained, he is very smart. Ile ni CREAM haina CHUYA, most important ana CONFIDENCE
 
1621704451739.png
 
tatizo hao ma suportres wana sarpong

1621704602325.png
 
appreciation za mashabiki wa kaizer chief wakiweka wazi bila unazi

1621704766810.png
 
appreciation za mashabiki wa kaizer chief wakiweka wazi bila unazi

View attachment 1794319

Asilimia kubwa wa mashabiki wa YANGA ni ignorants; laiti wangejua experience na financial stability anayopata Simba kushiriki hizi hatua ; hakika wangejiona WAPUMBAVU kwenda uwanjani na kushangilia MPINZANI.
 
Kazi imebaki sasa kwa Hanspope na Magori kuleta vifaa vipya vichache ili kuboresha timu lakini wasijichanganye kama utopolo ambao wao wanasajili wachezaji kumi kila dirisha likifunguliwa liwe dogo au kubwa.
 
Tulikosea kuruhusu zile 4

Sent using Jamii Forums mobile app

Sawa naungana na wewe katika maumivu. Mimi ni UTOPOLO lakini i am cherishing for Simba’s success , it means a lot to our country. Gomes alifanya makosa ya kimbinu and that is okay inatokea sana hata ULAYA. Kama Gomes angecheza kama Misiri au Congo, angefaulu sana

Timu zote 8 ni BORA, tofauti itakuja kwa mbinu . Hata Mamelodi imetoka mkuu. Naungana na wewe katika MAUMIVU
 
Asilimia kubwa wa mashabiki wa YANGA ni ignorants; laiti wangejua experience na financial stability anayopata Simba kushiriki hizi hatua ; hakika wangejiona WAPUMBAVU kwenda uwanjani na kushangilia MPINZANI.
Mmesahau mlivyokuwa mnashangilia timu za wageni kipindi kile?
 
Back
Top Bottom