demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Mugalu, mie huyu hata sijui kawapa nn simba maan tangu viongozi had mashabiki wengi wanamkubali, ila uhalisia ni hovyo tyuuj. Aaaaah yaan kaniudhi leo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mugalu, mie huyu hata sijui kawapa nn simba maan tangu viongozi had mashabiki wengi wanamkubali, ila uhalisia ni hovyo tyuuj. Aaaaah yaan kaniudhi leo,
Sikubaliani na wewe kumwita Wawa mavi. Wewe ndio mavi. Kuwa na heshima na mchango wa Wawa aliotoa klabuni. Toka tumemchukua tumechukua makombe mangapi akiwa ni first eleven. Umri umemtupa,sawa. Lakin Wawa sio takatakaHizo Mugalu , Ajibu , Wawa, Mkude ziende huko Yanga na Azam. Tena waanze kumfukuzia mbali huyo Mugalu na Mkude ni TAKATAKA kabisa. Ajibu na Wawa ni Mavi Mavi ... tupia huko.
Ama kwa hiyo RETENTION ya Chama, Morrison, Luis na Bwalya , na Gomes , naungana na wewe. Hakika wakifanyia hayo ya kina Djuma Shaaban, na huyo mwingine, mwakani FAINALI.
Chikwende naona ame hold capital ya timu tu , siamini katika come back yake , aende AZAM tu
Tatizo Yanga Wana shida kwenye mambo kadhaaUnadhani kwanini Yanga haina focus? Simba na Yanga walikuwa katika level sawa ukiachana na misumu hii mitatu. Je unadhani kilichotofautisha Simba na Yanga ni kipi katika hii misimu mitatu?
Pana SIRI hapa. Maana mpaka mashabiki wanamkingia KIFUA.
Umemaliza kila kituTatizo Yanga Wana shida kwenye mambo kadhaa
1. UONGOZI wa Yanga, wachache ndio watu wa mpira hasa toka way back. Ukimuangalia Hersi ndo front Man wa Yanga sasa hivi, sasa Hersi ameanza kujihusisha na mpira lini? Sanasana ni miaka 5 tu iliyopita mpaka sasa. Kulikuwa na watu wa mpira pale wote wametolewa kifitna, watu wa GSM hawawataki watu waliokuwa wa Manji. Hersi hajui lolote kuhusiana na soka na fitna zake. Angalia Simba unamkuta Hanspope, Kaduguda, Magori, Mulamu, Try Again nk wapo zaidi ya miaka 20 kwenye soka na wapo front.
2. SCOUTING- Yanga haina scout wa maana, ndo maana kila mwaka wanaleta utopolo mtupu..mara molinga, mara Yipe,mara sarpong, mara nchimbi. Wakati Simba wapo na Hanspope na Magori wakitumia agency wa nje huko. Yan utopolo wanashindwa scout hata na Azam. Shida kubwa ni nini? Upigaji
3. Falsafa- Yanga mpaka sasa hawana falsafa yoyote ya mpira. Simba wenyewe wanajulikana ni wazee wa lunyasi (Tik Tak).Hata kocha anavyotafutwa wanahakikisha ni mtaalamu wa lunyasi. Yanga walikuwa wanacheza direct football (mpira wa kijerumani) toka enzi na enzi. Wakitegemea kasi na mawinga kupiga cross. Sasa lakin siku hizi baada ya kuona mpira biriani wa Simba, na wao wanataka waende huko, hivyo haijulikani wapo wapi..kila kocha wanaemchukua anakuja na lwake.
4. Yanga wamewekeza kwenye siasa za mpira(porojo) zaidi ya kuwekeza kwenye sayansi ya mpira, na timu uwanjani. Porojo tu za kiutopolo,kuwaaminisha mashabiki kuwa mwaka huu watachukua makombe wakati ndo kwanza wanajenga timu. Kitu kinanishangaza hapa huu ni mwaka wa 4 Simba anachukua makombe, lakin wao wanajenga tu timu. Wakati Simba ilikaa miaka hiyo minne ikajenga timu hii tunayoiona. Sijui wanataka wakae miaka kumi? Maana ukiisha huu tunaingia wa 5. Kila mwaka wanasajili upya, uongozi kutaka timu ibebwe na mbeleko...Simba wao wanawekeza kwenye timu. Kununua wachezaji wa maana, benchi kubwa la ufundi, viwanja vya mazoezi, nutrition, facilities nk.
5. Mfumo wa kuendesha timu- Simba waliamua kuunda bodi na kuajiri watu wa kufanya kazi za kila siku. Bodi inakuwa na kazi ya kuset goals, watendaji kutekeleza. Simba imetoka kwenye kuendesha timu kiswahili, yanga bado wanaendelea na porojo za laliga, sijui kamati gani sijui..
Yanga wakitaka wasonge mbele, kwanza inabidi wakubali kuwa Simba kwasasa sio level zao. Zile porojo wao ndo timu kubwa Tanzania waache,Wajitafute waliteleza wapi na wawe na ujasiri wa kujifunza kutoka kwa Simba. Lasivyo watabaki kukwaruzana na TFF kuwa inaibeba Simba. Wakati Simba inazifunga Kaizer chiefs na Al Ahly, wao wanawaza watafanyaje waifunge KMC au Namungo..Kuanza upya sio ujinga.