Pamoja na Yote, Hongereni Simba SC

Pamoja na Yote, Hongereni Simba SC

Yanga ndio timu isiyokuwa na FOCUS. Mara ya mwisho kucheza Robo fainali ni lini.
Nadhani MUGALU level yake ni YANGA sio SIMBA
Unadhani kwanini Yanga haina focus? Simba na Yanga walikuwa katika level sawa ukiachana na misumu hii mitatu. Je unadhani kilichotofautisha Simba na Yanga ni kipi katika hii misimu mitatu?
 
Sure!
Main difference ni INVESTMENT na STRUCTURE.

2. Pia, TOP MANAGEMENT ya UTOPOLO inapoteza muda mwingi kwa kujihusisha na MAJUNGU ambayo hayana TIJA katika CARRIER PATH ya timu .

Top Management ya YANGA bado inatembelea kivuli cha SIMBA akiamini ndiyo RIVAL wake, wakati SIMBA anatembelea kivuli cha Ahly, Mamelodi, Mazembe, akiamini kuwa hao ndiyo RIVALs wake .

Hii kutembelea kivuli cha SIMBA inawaondolea FOCUS na STRENGTH nje ya TANZANIA.
 
Hii kutembelea kivuli cha SIMBA inawaondolea FOCUS na STRENGTH.
Hili la uongozi wa Yanga niliongelea siku moja humu nikashambuliwa humu na mashabiki oya kuwa siijui mambo ya Yanga niachane na Yanga.
Simba imeiacha Yanga kwasabu kuu hizo mbili tu. Ya mfumo wa uendeshaji na mkwanja. Wasipostuka saivi watakuja kustuka kipindi ambacho Simba inakuwa timu ya ukanda wa Africa mashariki kuchukua kombe la klabu bingwa.
 
Nakubaliana na Wewe. Inatusononesha sana hili litimu. Yule Msauzi ana ishu gani pale , kWanza anaonekana he is too immature. Uongozi mzima upigwe chini , Investor apewe timu.

Deep down sote tunakubali simba ndiyo timu bora Yaani katika level za kina Mamelodi
 
Sure!
Main difference ni INVESTMENT na STRUCTURE.

2. Pia, TOP MANAGEMENT ya UTOPOLO inapoteza muda mwingi kwa kujihusisha na MAJUNGU ambayo hayana TIJA katika CARRIER PATH ya timu .

Top Management ya YANGA bado inatembelea kivuli cha SIMBA akiamini ndiyo RIVAL wake, wakati SIMBA anatembelea kivuli cha Ahly, Mamelodi, Mazembe, akiamini kuwa hao ndiyo RIVALs wake .

Hii kutembelea kivuli cha SIMBA inawaondolea FOCUS na STRENGTH nje ya TANZANIA.

Sioni tatizo kwa Yanga kuifanya Simba kuwa Rival wake kwasababu Simba kwasasa ameshaicha Yanga kwa mbali kwanzia kwenye mfumo, mikakati, malengo mpaka kiuchumi hivyo Yanga ingekuwa ni wa kujifunza kupita walipo/wanapopita Simba lakini cha kushangaza viongozi wamekuwa ni watu wa kuwabeza simba. Mfano swala la uwekezaji wanaweka itikadi ya timu hatumpi mtu mmoja aende. Timu ya wananchi, wawekezaji ni wananchi. Mashabiki nao akili zimelala wanashindwa kuangalia zama tuliyopo inahitaji nini. Ni pesa za kutosha + mfumo sahihi za kuebdesha timu
 
Performance moja ya kibabe san
FB_IMG_16204734191703139.jpg
 
Sioni tatizo kwa Yanga kuifanya Simba kuwa Rival wake kwasababu Simba kwasasa ameshaicha Yanga kwa mbali kwanzia kwenye mfumo, mikakati, malengo mpaka kiuchumi hivyo Yanga ingekuwa ni wa kujifunza kupita walipo/wanapopita Simba lakini cha kushangaza viongozi wamekuwa ni watu wa kuwabeza simba. Mfano swala la uwekezaji wanaweka itikadi ya timu hatumpi mtu mmoja aende. Timu ya wananchi, wawekezaji ni wananchi. Mashabiki nao akili zimelala wanashindwa kuangalia zama tuliyopo inahitaji nini. Ni pesa za kutosha + mfumo sahihi za kuebdesha timu

Karibio Timu zote Africa zina Investor mmoja au team ya watu wachache na haiwaondolei ukweli wa wao kuwa timu ya wananchi.

Hao wananchi hawana hela, hela zipo kwa Investors wanaoweza kufanya REFORMS.

Top Management ya YANGA ni ZERO BRAIN . They are too good for NOTHING
 
Yanga ndio timu isiyokuwa na FOCUS. Mara ya mwisho kucheza Robo fainali ni lini.
Nadhani MUGALU level yake ni YANGA sio SIMBA
Umeshahama timu yako Gor Mahia?

Hahahaha
 
Nakubaliana na Wewe. Inatusononesha sana hili litimu. Yule Msauzi ana ishu gani pale , kWanza anaonekana he is too immature. Uongozi mzima upigwe chini , Investor apewe timu.

Deep down sote tunakubali simba ndiyo timu bora Yaani katika level za kina Mamelodi

Ona huyu naye.

Investor ndio nani sasa....?
 
Sure!
Main difference ni INVESTMENT na STRUCTURE.

2. Pia, TOP MANAGEMENT ya UTOPOLO inapoteza muda mwingi kwa kujihusisha na MAJUNGU ambayo hayana TIJA katika CARRIER PATH ya timu .

Top Management ya YANGA bado inatembelea kivuli cha SIMBA akiamini ndiyo RIVAL wake, wakati SIMBA anatembelea kivuli cha Ahly, Mamelodi, Mazembe, akiamini kuwa hao ndiyo RIVALs wake .

Hii kutembelea kivuli cha SIMBA inawaondolea FOCUS na STRENGTH nje ya TANZANIA.

hawa ulio wataja wote sio level ya simba ukianzia kimafanikio.

Simba imefanya nini katika klabu bingwa zaidi ya kufika hiyo robo fainal.
 
Back
Top Bottom