Pamoja na Yote, Hongereni Simba SC

Mipango ya nje ya uwanja vipi iboreshwe au ibaki vile vile?
 
Leo mimi kwa simba ni [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kiukwel umenena kaka ,Simba inahitaji maboresho madogo sana ili kuwa fit mara dufu , toa wafuatao hapo simba
Mugalu
Wawa
Mkude
Ajibu
Leteni mashine mpya kabisa mfano hawa wafuatao

Dube
Juma wa As vita
Na Ambao wengine mtakao ona wanafaa hasa mjipange mlete foward mbili ambazo sio za kuunga unga ,leten beki wawii wa maana wa kati mkifanya hivyo biashara kwisha .

Ila chonde chonde Simba isije jaribu kuwauza au kuachana nao wafuatao.

Morrison
Bwalya
Chama
Konde boy.Hawa ndio injin ya Simba ,pia Simba wasije leta ujinga wa kuachana na huyu kocha Da Rosa ,ni bonge moja la kocha ikiweaekana wamuongeze salary kabisa jamaa ni fundi mno ,Narudia Tena wasijekwazana kabisa na huyu kocha anatutosha huyu mbaba tukomae nae kwenye shida na raha ipo siku atakuja tuletea kitu ambacho hatukuwah fikiria kukipata hivi karibun
 

Hizo Mugalu , Ajibu , Wawa, Mkude ziende huko Yanga na Azam. Tena waanze kumfukuzia mbali huyo Mugalu na Mkude ni TAKATAKA kabisa. Ajibu na Wawa ni Mavi Mavi ... tupia huko.

Ama kwa hiyo RETENTION ya Chama, Morrison, Luis na Bwalya , na Gomes , naungana na wewe. Hakika wakifanyia hayo ya kina Djuma Shaaban, na huyo mwingine, mwakani FAINALI.

Chikwende naona ame hold capital ya timu tu , siamini katika come back yake , aende AZAM tu
 
Aisee kweli morisson ni tofauti na wachezaji wengine wanaopigiwa debe pale simba...
Shida yenu nyie watanzania ni JUDGMENTAL. Why can’t you accept him as he is . Yule ndio mchezaji BRIGHT pale Simba kuliko yoyote. Anacheza mpira kwa brained, he is very smart. Ile ni CREAM haina CHUYA, most important ana CONFIDENCE
 
tatizo hao ma suportres wana sarpong

 
appreciation za mashabiki wa kaizer chief wakiweka wazi bila unazi

 
appreciation za mashabiki wa kaizer chief wakiweka wazi bila unazi

View attachment 1794319

Asilimia kubwa wa mashabiki wa YANGA ni ignorants; laiti wangejua experience na financial stability anayopata Simba kushiriki hizi hatua ; hakika wangejiona WAPUMBAVU kwenda uwanjani na kushangilia MPINZANI.
 
Kazi imebaki sasa kwa Hanspope na Magori kuleta vifaa vipya vichache ili kuboresha timu lakini wasijichanganye kama utopolo ambao wao wanasajili wachezaji kumi kila dirisha likifunguliwa liwe dogo au kubwa.
 
Tulikosea kuruhusu zile 4

Sent using Jamii Forums mobile app

Sawa naungana na wewe katika maumivu. Mimi ni UTOPOLO lakini i am cherishing for Simba’s success , it means a lot to our country. Gomes alifanya makosa ya kimbinu and that is okay inatokea sana hata ULAYA. Kama Gomes angecheza kama Misiri au Congo, angefaulu sana

Timu zote 8 ni BORA, tofauti itakuja kwa mbinu . Hata Mamelodi imetoka mkuu. Naungana na wewe katika MAUMIVU
 
Asilimia kubwa wa mashabiki wa YANGA ni ignorants; laiti wangejua experience na financial stability anayopata Simba kushiriki hizi hatua ; hakika wangejiona WAPUMBAVU kwenda uwanjani na kushangilia MPINZANI.
Mmesahau mlivyokuwa mnashangilia timu za wageni kipindi kile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…