Pamoja na Yote, Hongereni Simba SC

Dube laini mno mdau
 
AAAGH, hizo ni match hazina deal. Nadhani yanga sio timu tena kwa simba. Simba anatakiwa kuwa na washindani kama Ahly, Focus iwe huko. Sisi UTOPOLO kazi yake ni MDOMO kama watu wa MSOGA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga ndio timu isiyokuwa na FOCUS. Mara ya mwisho kucheza Robo fainali ni lini.
Nadhani MUGALU level yake ni YANGA sio SIMBA
Kama Yanga walimfukuza Molinga huyo Mugali atakaa kiti gani pale benchi..?
 
Mugalu atokeeh, hana ile morari ya kuwezesha team ushindi, na chama nae aache ubishow khaaaah.
 
hawa ulio wataja wote sio level ya simba ukianzia kimafanikio.

Simba imefanya nini katika klabu bingwa zaidi ya kufika hiyo robo fainal.

UTOPOLO at his best. Leta Maneno mwana MSOGA kama kawaida yenu
 
Hakika kabisaaah
 
Kama Yanga walimfukuza Molinga huyo Mugali atakaa kiti gani pale benchi..?

Mbona mliweza kuchukuaa takataka za As Vita. Sasa Simba na Vita ipi timu bora ?
 
Nani kati ya hao niliowataja?
Mugalu, mie huyu hata sijui kawapa nn simba maan tangu viongozi had mashabiki wengi wanamkubali, ila uhalisia ni hovyo tyuuj. Aaaaah yaan kaniudhi leo,
 
Mugalu, mie huyu hata sijui kawapa nn simba maan tangu viongozi had mashabiki wengi wanamkubali, ila uhalisia ni hovyo tyuuj. Aaaaah yaan kaniudhi leo,
Itakuwa ndumba, kifupi hana kitu yule.
Angekuwa hafungi lakini anasumbua ili kiwapa nafasi wenzake wafunge, au hata kutengeneza nafasi kwa wenzake lakini holla
 
Itakuwa ndumba, kifupi hana kitu yule.
Angekuwa hafungi lakini anasumbua ili kiwapa nafasi wenzake wafunge, au hata kutengeneza nafasi kwa wenzake lakini holla

Pana SIRI hapa. Maana mpaka mashabiki wanamkingia KIFUA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…