Pamoja na yote, Magufuli aachwe amalize vipindi vyake viwili vya Urais

Kwa hiyo magufuli anajenga kwa hela zake? Acheni chuki zisizo na mashiko.

Ndio maana tunataka akae pembeni miradi itajengwa na wananchi. Yeye nafasi ya urais haimfai, akawe waziri wa miundombinu asimamie hiyo miradi.
 
Ndio maana tunataka akae pembeni miradi itajengwa na wananchi. Yeye nafasi ya urais haimfai, akawe waziri wa miundombinu asimamie hiyo miradi.
Haya bwana subiri mpaka 2025.
 
Hakuna chuki hapo,yeye aliomba mkataba wa kutuongoza miaka mitano na alisema ktk miaka hiyo Tanzania itageuka kuwa viwanda sasa ebu tuhesabie kwanza viwanda vilivyojengwa hadi sasa ili tuone kama anastahili kupewa mkataba mwingine
Kwa hiyo magufuli anajenga kwa hela zake? Acheni chuki zisizo na mashiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika utaupata huo umeme wa uhakika? Bomba la gesi hamkuwa mnasema hivyo pia?
Ukisha pata umeme wa uhakika bei ya umeme itashuka na viwanda ni lazima vitaongezeka.
Hilo li la dhahiri.
Sasa thamani ya maisha utaikosaje?
 
Waliomatangulia kwa ahadi za maisha bora kwa kila mtanzania, kilimo kwanza na matokeo makubwa sasa vyote hivyo mlivipata? Simitetei Magufuli ila some times politicians duniani kote huwa wanaahidi vitu vingine ambavyo siyo rahisi kutekelezeka. Hata mimi hilo la viwanda nilijua tu kwamba ni siasa maana serikali haijengi viwanda tena isipokuwa sekta binafsi. Sasa huwezi kusema tutajenga viwanda wakati sekta binafsi haijawekewa mikakati mizuri ya kujenga hivyo viwanda. Lakini mambo mengine anajitahidi mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Ndio umesha mpigia kura hapo

kIongOzI Wa BaaDae
 
Mambo mengine yapi?
 
Huko USA Trump alihadi kujenga ukuta wa kutenganisha USA na Mexico kwa lengo la kudhibiti wahamiaji haramu toka mexico na nchi nyingine za Latin America. Je Trump ameshajenga huo ukuta?
 
Ukishakua Kiongozi wa juu kabisa katika taifa huwezi kuwa na excuse ya hulka yako binafsi katika mambo ya nchi kwa sababu hiyo inashuka chini na kuathiri mamilioni ya watu na kwa muda mrefu sana hasa pale inapokuwa hulka hiyo inapokuwa hasi.
 
Anaendelea kuujenga lakini inaweza isimsaidie sana pia katika uchaguzi ujao wa Nov kwa sababu pamoja na kuwadanganya Mexico ndio ingelipia gharama za ujenzi lakini pia ameveruga sana mambo mengine na US sio jambo jipya Rais kupewa awamu moja tu ya kuongoza na wapiga kura.
Huko USA Trump alihadi kujenga ukuta wa kutenganisha USA na Mexico kwa lengo la kudhibiti wahamiaji haramu toka mexico na nchi nyingine za Latin America. Je Trump ameshajenga huo ukuta?
 
Mkuu Kalamu1, nathamini mchango wako kwa vile u makini hata katika kumbukumbu.
Pengine umenielewa kivingine katika michango yangu.

Pote ninapo post kwanza najitambulisha kuwa ni mwana CCM , tena liberal.
Mimi ni liberal kwa maana ya kuamini misingi ya chama chenyewe.

Nitasema kweli daima fitina kwangu ni mwiko.
Pamoja na imani hiyo kuna principles za maendeleo yaani watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora.
Hiyo kuisema ni simple.

Please note michango yangu mara zote najaribu kuwa factual na logical.
Tunaweza tofautiana katika conclusions za facts na logic lakini hilo ni la kila mtu kulieleza jinsi anavyo anaelewa.
Mara zote kitu kisipoenda sawa nimekikosoa bila kumung’unya maneno, na mengine yamemhusu hata Rais mwenyewe.

Tukirudi kwa Mh Magufuli, tupende tusipende kwa sasa ndio chaguo la CCM toka mwaka 2015 na huwezi badilisha hilo.

Sasa hivi kumtaka Magufuli aendelee muhula mwingine ni kuwa mnazi wake?
Nimesema mapema kuwa miradi hii aliyoianzisha ni bora akaimalizia, na huo ni unazi au kuwa practical?

Mkuu I hope umenielewa.
 
kwanza kupita kwake hakuhitaji kura za wana JF kama wewe
uchumi kushuka ni suala lililokumba hata mataifa makubwa

waliowengi watamchagua na lazma apite kwa kishindo. hapa JF wengi hata sifa za kupiga kura hawana wanabwabwaja tu
 
kwanza kupita kwake hakuhitaji kura za wana JF kama wewe
uchumi kushuka ni suala lililokumba hata mataifa makubwa

waliowengi watamchagua na lazma apite kwa kishindo. hapa JF wengi hata sifa za kupiga kura hawana wanabwabwaja tu
Una uhuru wa kuwa na mawazo yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…