Panapo kipato hakuna mwanamke mwenye dharau

Panapo kipato hakuna mwanamke mwenye dharau

Miyeyusho tuu

Hahahahahahaha ila kuna ukweli mwingi hapo. Ndo maana mwisho wa mwezi mademu wanakuaga wapole sana ila ikifika katikati ya mwezi sana change ,hii ni kwa wale wazee wa ATM
 
Mi mtu akizingua wala simsumbui nakaa kimya hata kama ni mwaka atajileta mwenyewe
 
unajiskiaje uwe na pesa mingi lakini kidubwana cha kumkuna manzi hakifanyi kazi..
Angalau atachepuka kukitafuta anachokitaka lakini dharau hazitakuwepo, atajitahidi afanye kwa siri sana hili usigundue lakini utapata kila unachokitaka kwale.
 
Natafta pesa ila imekua ngumu kupatikana. Nfanyeje ili nipate pesa mingi?
Hakuna zaidi ya kupambana kaka. Kaka paka utoboe, mbilingembilenge zinakua nyingi sana. Muhimu Mipango, dhamira ya kutimiza, uvimilivu na kujipa moyo wa kusonga mbele zaidi pamoja na changamoto unazokutana nazo.
 
Mi mtu akizingua wala simsumbui nakaa kimya hata kama ni Mwaka atajileta mwenyewe
Duh hii kali. Ila inasaidia kuondoa stress za mapemzi. Haya mambo yanaumiza mkuu.
 
Umeongea ukweli mtupu mkuu, hata kama umemoenda vip ukiwa na pesa ni rahisi kumsahau unajiendea zako Bankok huko au Paris Brazil unakula watoto wa kitasha mwezi mzima ukirudi umeshamsahau uwe huna kitu sasa.
 
Kwani tatizo hapo lilikuwa ni kipato ama ni kutokuwa na mtu sahh?
 
Sio kweli. Kwenye maisha yangu nilimuacha mwanaume na pesa zake mchana kweupeeee haamini hadi leo ni miaka 7 imepita. Mwanaume asiyejua kufunga zipu yake hanogi hata kidogo. Tafuteni pesa lakini pesa sio kila kitu kwenye haya maisha.
 
Umeongea ukweli mtupu mkuu.hata kama umemoenda vip ukiwa na pesa ni rahisi kumsahau unajiendea zako Bankok huko au Paris Brazil unakula watoto wa kitasha mwezi mzima ukirudi umeshamsahau uwe huna kitu sasa.
Bro kadri unavyokanyaga wengine kwa kumsahau ndo unavyozidi kumkumbuka tena zaidi..! ukiona unafanya hyo yote na ukamsahau basi ujue kulikuwa na nafasi ndogo sana ya kumsahau
 
Back
Top Bottom