KERO Panel za usahihishaji mitihani ya kitaifa form two na form 4 - Waziri wa Elimu ziangaliwe upya, kuna ukabila uliokithiri

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

kodo1

Member
Joined
Apr 3, 2025
Posts
52
Reaction score
83
Nimejaribu kufuatilia panel mbali mbali za usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne na chapili ambapo nilianza kuhudhuria kama miaka kumi iliopita kama external niliouagundua huko ni mengi lakini kwa haraka nitaeleza machache.

1. Ukabila uliopitiliza kama mwenye kiti wa panel akiwa kabila fulani atajaza watu wa kabila lake mfano nimeudhuria panel ya biology na chemistry geography ukabila umeshika kasi kuna mwenyekiti wa pannel hizoni wachaga kwa kwahiyo wamejaza wachaga wa kutosha katika vitengo vyote vya maamuzi. na wamescreen watu wengi kutoka uchagani ndo maaana mikoa yao lazima ifanye vizuri.

2. Uhuni na umalaya uliopitiliza kuna uhuni na umalaya uliptiliza pindi watu wanapokuwa kwenye mapumziko hususani wakati wa wikiend.

3. Kuletwa wa mama wajawazito sijui wanakuwa ni wake za viongozi wa panel wakati shughuli yenywe inakatza watu wajawazito wasiudhurie.

4. Viongozi wa panell kuwapunja stahiki zao wanaofanya shughuli hiyo izogatiwa shughuli hiyo ni ngumu kwani haijulikani per script ni sh ngapi? nauli zinalipwaje'?

MY note baraza la mitihani lifanyoe kazi malalamiko hayo ikizongatiwa kazi ydnyewe ni ngumu
my note.
Necta iweke wazi yafuatayo kwa wanaohusika. ikizingatiwa kazi ngumu sana

1.per script ni sh ngapi?

2.muda sahihi wa kufanya kazi niliwahi pita centa moja markers wengi walilalamika kama wapo guantanamo bay.Kufanya kazi mda mrefu ili kumaliza mapema kabla ya sikukuu ni jambo jema ila ufanisi wa kazi uwa uko chini.ukizingatia mtu atakuwa amechoka.Iwekwe ratiba sahihi ya kuanza marking na kumaliza form two.Na form hivyihivyo

3.transpot allowance iwekwe wazi kumekuwa na ubabaishaji mwingi wengine wakisema mpk usafiri kilomete 1300 ndio ulipwe night +transprt allowance.

4.mwisho necta ichuje majina ya wasahihishaji yenywe isiwaaachie wenyeviti wa pannels
 
Mkuu!

Kwanini umeficha I'd yako halisi!!?

Cha msingi necta waweke link ya kuomba ajira hizo kwenye portal na criteria zitumike kusaili!

Kwamfano;-

Kuwa mwenyekiti wa panel ya geography;-

1.uwe na uzoefu was kusahisha mara Saba au nane!

2.uwe walau una shahada ya SoMo husika.

3.uwe fluent kwenye kiingereza na kiswahili.

4.uwe huna historian ya utovu wa nidhamu kazini!

5.uwe na uwezo wa kushirikiana na wenzako kwenye panel!!

Kwenye swala la nauli:-

Necta iwe na member was sumatra au wazoefu wa maeneo husika anapotoka mtahini!

Kuna wengine wanatoka remote areas vichakani huko ambapo nauli ya kufika bara bara kuu ni piki piki kama 25000 Hadi 30000,Sasa ukimlipa Kwa nauli ya kawaida ya ticketi za ma bus unamuumiza sana!!

Uelewa was kimazingira Kwa NECTA ni mdogo sana ndio maana wanafananisha ufaulu wa shuke za serikali na zile za private huku wakihamasisha walimu was serikali wachape kazi wawafikie kiufaulu wale wa priavate wakati shule za kata Zina mazingira magumu sana kuliko!!

Hope member wa panels watalielewa!

NB:-

Kati ya taaisi ambayo ni sensitive kiutendaji necta ni mojawapo!

Kuna mdau aliwauliza maswali mwaka jana kule Bukoba na kweli jamaa walifika wilaya husika na kufanya uchunguzi na wakaona mapungufu Hadi serikali ikatangaza kwamba wapo tayari kusaidia kulipia vifaa vya sayansi pale ambapo capitation haitoshelezi mahitaji!

Najua fika nectar wataingia mzigoni kufanya uchunguzi kwenye panels mwaka huu na hope wata balance ukabila kama ukibainika!

Asante sana comrade!
 
inaangushwa na watendaji wabovu ambao hawana chembe ya uzalendo
 
Kwan unakuta alieletwa ni mwenyekit wa mtaa au ni mwalimu?..tuanzia hapo kwanza
Akili za walimu utaziweza,, hapo anawaza viposho vya kusahihisha mitihani,,, Si ajabu ni Moja ya KADA ambazo CCM wanaziendesha kama magari mabovu,, watu wanaleta MADA sensitive za kubadili mifumo ambayo ubovu huo ndo matokeo yake,, yeye analeta Vioja
 
Jamani bora mmesemea hili, huko kwenye usahihishaji kuna ukiritimba sana.

Sitasahau Geography Necta 4m 4, mwaka wetu, pale shule tulibananga vibaya, japo shule ya serikali na ni bweni kitaifa jinsia 1.

Hadi kila mtu anajiuliza imekuaje hii??
Wanafunzi 75+, A zilikua 2, B ilikua 1, jamani C ndo zilitapakaa hapo, D zilikua 3.

Yaan mtu chem na Phys ana A au B, geog ana C.
😂😂😂😂😂 khaaaaah.
 
Nimejaribu kufuatilia panel mbali mbali za usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne na chapili ambapo nilianza kuhudhuria kama miaka kumi iliopita kama external niliouagundua huko ni mengi lakini kwa haraka nitaeleza machache.

1. Ukabila uliopitiliza kama mwenye kiti wa panel akiwa kabila fulani atajaza watu wa kabila lake mfano nimeudhuria panel ya biology na chemistry geography ukabila umeshika kasi kuna mwenyekiti wa pannel hizoni wachaga kwa kwahiyo wamejaza wachaga wa kutosha katika vitengo vyote vya maamuzi. na wamescreen watu wengi kutoka uchagani ndo maaana mikoa yao lazima ifanye vizuri.

2.Uhuni na umalaya uliopitiliza kuna uhuni na umalaya uliptiliza pindi watu wanapokuwa kwenye mapumziko hususani wakati wa wikiend.

3.kuletwa wa mama wajawazito sijui wanakuwa ni wake za viongozi wa panel wakati shughuli yenywe inakatza watu wajawazito wasiudhurie.

4.Viongozi wa panell kuwapunja stahiki zao wanaofanya shughuli hiyo izogatiwa shughuli hiyo ni ngumu kwani haijulikani per script ni sh ngapi? nauli zinalipwaje'?

MY note baraza la mitihani lifanyoe kazi malalamiko hayo ikizongatiwa kazi ydnyewe ni ngumu
Nina wasiwasi na maelezo haya. Ninavyojua NECTA au baraza la mitihani enzi zetu, usahihishaji wa mitihani unahusisha namba yako uliyofanyia mtihani, na ninafikiri kwa kumbukumbu yangu, hatukuandika majina bali namba yako. Mwishowe msahihishaji atadeal na namba na siyo jina ilifanywa hivyo kwa makusudi ili kusiwezekane upendeleo.
 
Nimejaribu kufuatilia panel mbali mbali za usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne na chapili ambapo nilianza kuhudhuria kama miaka kumi iliopita kama external niliouagundua huko ni mengi lakini kwa haraka nitaeleza machache.

1. Ukabila uliopitiliza kama mwenye kiti wa panel akiwa kabila fulani atajaza watu wa kabila lake mfano nimeudhuria panel ya biology na chemistry geography ukabila umeshika kasi kuna mwenyekiti wa pannel hizoni wachaga kwa kwahiyo wamejaza wachaga wa kutosha katika vitengo vyote vya maamuzi. na wamescreen watu wengi kutoka uchagani ndo maaana mikoa yao lazima ifanye vizuri.

2.Uhuni na umalaya uliopitiliza kuna uhuni na umalaya uliptiliza pindi watu wanapokuwa kwenye mapumziko hususani wakati wa wikiend.

3.kuletwa wa mama wajawazito sijui wanakuwa ni wake za viongozi wa panel wakati shughuli yenywe inakatza watu wajawazito wasiudhurie.

4.Viongozi wa panell kuwapunja stahiki zao wanaofanya shughuli hiyo izogatiwa shughuli hiyo ni ngumu kwani haijulikani per script ni sh ngapi? nauli zinalipwaje'?

MY note baraza la mitihani lifanyoe kazi malalamiko hayo ikizongatiwa kazi ydnyewe ni ngumu
Angalia vizuri, inawezekana kuna udini pia. Nchi iko kwenye mikono miovu!
 
Jamani bora mmesemea hili, huko kwenye usahihishaji kuna ukiritimba sana.

Sitasahau Geography Necta 4m 4, mwaka wetu, pale shule tulibananga vibaya, japo shule ya serikali na ni bweni kitaifa jinsia 1.

Hadi kila mtu anajiuliza imekuaje hii??
Wanafunzi 75+, A zilikua 2, B ilikua 1, jamani C ndo zilitapakaa hapo, D zilikua 3.

Yaan mtu chem na Phys ana A au B, geog ana C.
😂😂😂😂😂 khaaaaah.
Geog miaka yote ni mzozo...fatilia
 
Hayo mengine siyajui ila no. 2 Uhuni ijui umlaya watu wakiwa weekend, Mleta maada acha umbeya, Acha kufatilia mambo ya watu.

Yaani watu wako weekend, Wameamua kunyooshana migongo na kupunguzian visirani vya ndoa wewe unaona kama ni hoja ya kumwambia waziri wa elimu?

Kweli waalimu mnashida
 
Back
Top Bottom