Curtiz
JF-Expert Member
- Oct 1, 2021
- 1,364
- 2,583
Ndio mana nikamalizia, una hojaalakini umeelewa
Ndio mana nikamalizia, una hojaalakini umeelewa
Wachaga nbawaonea sana .. CRDB alikuwa kimei na ilikua inaenda sanaaa mzee wa watu kastafu kamuachia mzanzibar na mswahilina mwenzenu benki inaporomoka mnasingizia mchaga . Hii nchi sijui kwa nini wachaga wanachukiwa sanaKabla hata sijasoma nikajua mchagga kashaharibu huku..hawa hawana aibu kwenye ukabila..hiyo CRDB ni ukabila...wana ukabila wa kishamba na laana
Geography ni somo gumu sana,ni vile mnalichukulia poa poa!!Jamani bora mmesemea hili, huko kwenye usahihishaji kuna ukiritimba sana.
Sitasahau Geography Necta 4m 4, mwaka wetu, pale shule tulibananga vibaya, japo shule ya serikali na ni bweni kitaifa jinsia 1.
Hadi kila mtu anajiuliza imekuaje hii??
Wanafunzi 75+, A zilikua 2, B ilikua 1, jamani C ndo zilitapakaa hapo, D zilikua 3.
Yaan mtu chem na Phys ana A au B, geog ana C.
😂😂😂😂😂 khaaaaah.
💯Angalia vizuri, inawezekana kuna udini pia. Nchi iko kwenye mikono miovu!
BI kidawa kajaza watoto na wakwe ikulu "who are you?" Kuzuia watu wasijaze ndugu zao?
Kuzungumza bila kuchukua hatua ni ujinga, bora ukae kimya tu.yaaani lazima tuzungumze tusipoyzungumzia haya vizazi vyetu vitakuja kutuukumu
kukaaa kimya ni kosa wewe unashauri hatua zipi zichukuliwe?Kuzungumza bila kuchukua hatua ni ujinga, bora ukae kimya tu.
Tuandamane D9 kuwaondoa majizi na wababaishaji mdarakani tuanze upyaaaa.kukaaa kimya ni kosa wewe unashauri hatua zipi zichukuliwe?
maandamano hayawezi kuwa solution ya matatizo , matatizo yetu yatatuliwa kwa kujenga taasisi imaraTuandamane D9 kuwaondoa majizi na wababaishaji mdarakani tuanze upyaaaa.
Mkuu uko sawa kabisa, bora hata siku hizi kwa kipindi kirefu somo lililokua linaongoza kutotoa A la kwanza Civics la pili ni Geography.Geography ni somo gumu sana,ni vile mnalichukulia poa poa!!
Chemistry au biology ikiingia kwenye mfumo wako unaweza toboa vizuri TU,lakin geog ikija vibaya unaweza zungusha kabisa!
Ila nyie vijana kwa kutohoa vimajina mmebobea eti "Bi kidawa". Kuna jamaa mwingine tik tok anamwita "Bi msumi"....... Hv haya majina mnayatoaga wapi? 😅🤣😂BI kidawa kajaza watoto na wakwe ikulu "who are you?" Kuzuia watu wasijaze ndugu zao?
haya ndio mambo nayazungumzia inahitajika reforms na wakusimamia hili ni baraza la mitihani la mitihani wenyeweNECTA wao kama wao wapo vizuri sana na wako very fair tatizo ni hao wenyeviti wa panels.
1. Pia watu kwenda marking sijui wanatumia kigezo Gani Kuna watu wapo wanafundisha miaka 10 HAWAJAWAHI KWENDA MARKING LAKINI KUNA WENGINE KILA MWAKA WANAENDA TU. HAPA KUNA TATIZO..
2. Vile vile Kuna watu wakienda mara moja wanasubirishwa miaka miwili mpaka mitatu ila wengine ni special hakuna kupitishwa hata mwaka mmoja.
3. ukabila upo Tena sana tu wenyeviti wa panel wasipotoka Kilimanjaro basi atatoka mara.
Hiyo kazi ya kitumwa tu huruhusiwi kuhoji, Huna uhuru na simu yako, huaminiki na kila muda vitisho na kufungiwa ndani. Kibaya zaidi unalazimishwa kutoa maksi kwa vitu usivyokubaliana navyo. Kila wakati ni vitisho. İlə siyo kazi acha wanaoipenda wafanye. Niliifanya kwa muda mfupi nikaona usenge.Nimejaribu kufuatilia panel mbali mbali za usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne na chapili ambapo nilianza kuhudhuria kama miaka kumi iliopita kama external niliouagundua huko ni mengi lakini kwa haraka nitaeleza machache.
1. Ukabila uliopitiliza kama mwenye kiti wa panel akiwa kabila fulani atajaza watu wa kabila lake mfano nimeudhuria panel ya biology na chemistry geography ukabila umeshika kasi kuna mwenyekiti wa pannel hizoni wachaga kwa kwahiyo wamejaza wachaga wa kutosha katika vitengo vyote vya maamuzi. na wamescreen watu wengi kutoka uchagani ndo maaana mikoa yao lazima ifanye vizuri.
2. Uhuni na umalaya uliopitiliza kuna uhuni na umalaya uliptiliza pindi watu wanapokuwa kwenye mapumziko hususani wakati wa wikiend.
3. Kuletwa wa mama wajawazito sijui wanakuwa ni wake za viongozi wa panel wakati shughuli yenywe inakatza watu wajawazito wasiudhurie.
4. Viongozi wa panell kuwapunja stahiki zao wanaofanya shughuli hiyo izogatiwa shughuli hiyo ni ngumu kwani haijulikani per script ni sh ngapi? nauli zinalipwaje'?
MY note baraza la mitihani lifanyoe kazi malalamiko hayo ikizongatiwa kazi ydnyewe ni ngumu
Bila kuwaondoa watawala hutojenga taasisi imara, hawataki mabadiriko na hawataki kutoka kupisha mabadiriko kwa miaka 60 sasa.maandamano hayawezi kuwa solution ya matatizo , matatizo yetu yatatuliwa kwa kujenga taasisi imara
Hahaha hili somo advance nakumbuka lilikuja lakawaida yaan geo 2 ilikuwa maji kabisaaa hata mtaani ilikuwepo.Jamani bora mmesemea hili, huko kwenye usahihishaji kuna ukiritimba sana.
Sitasahau Geography Necta 4m 4, mwaka wetu, pale shule tulibananga vibaya, japo shule ya serikali na ni bweni kitaifa jinsia 1.
Hadi kila mtu anajiuliza imekuaje hii??
Wanafunzi 75+, A zilikua 2, B ilikua 1, jamani C ndo zilitapakaa hapo, D zilikua 3.
Yaan mtu chem na Phys ana A au B, geog ana C.
😂😂😂😂😂 khaaaaah.
We ulisoma shule ya jinsia gani?Jamani bora mmesemea hili, huko kwenye usahihishaji kuna ukiritimba sana.
Sitasahau Geography Necta 4m 4, mwaka wetu, pale shule tulibananga vibaya, japo shule ya serikali na ni bweni kitaifa jinsia 1.
Hadi kila mtu anajiuliza imekuaje hii??
Wanafunzi 75+, A zilikua 2, B ilikua 1, jamani C ndo zilitapakaa hapo, D zilikua 3.
Yaan mtu chem na Phys ana A au B, geog ana C.
😂😂😂😂😂 khaaaaah.