KERO Panel za usahihishaji mitihani ya kitaifa form two na form 4 - Waziri wa Elimu ziangaliwe upya, kuna ukabila uliokithiri

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
nachokizungumzia kuna kitu hukielewi watu wanaweza wakafanya hayo lakini ikumbukwe kuwa pale kuna wake za watu na wanaume za watu.
pia upande wa wanawake wamekuwa wamekuwa wakipigwa mambo kwa kuaidiwa kwamba watakuwepo kila awamu. hebu baraza lirudishe hazi yake
Aisee....
 
yap faida ipo kwani wewe ndio msimamizi wa pannel husika napia wewe ndio unapewa rungu la ku screen majina
Ukipewa rungu la kuscreen majina hiyo ni faida?
Miye nazungumzia maslahi (kifedha) maslahi yao yakoje ukilinganisha na markers
 
Pambaneni na hali zenu, kazi yenyewe kila mwaka wanaenda watu wale wale licha ya mke wangu kufanya kazi ya ualimu Kwa zaidi ya miaka 10+ lakini hajawahi kuitwa ila wenzie kila mwaka wamo
 
Wachaga nbawaonea sana .. CRDB alikuwa kimei na ilikua inaenda sanaaa mzee wa watu kastafu kamuachia mzanzibar na mswahilina mwenzenu benki inaporomoka mnasingizia mchaga . Hii nchi sijui kwa nini wachaga wanachukiwa sana
Tuungane na serikali ndio hawa wengine wajue kuwa uchagga sio kabila.Wachagga wenzangu ,tule na mwenye nguvu ,kundesha mapambano na serikali hakuna Friday.Kwa kuwa wachagga walibahatika kuwa na elimu tena kwa wingi tusijaribu kupoteza hii bahati kwa kusupport wapuuzi kama Lema.
Wanaolamika kuwa Necta kuna ukabila hawajui kuwa mmefika hapo kw sifa ma serikali kuwaamini pia
 
hujaelewka
 
mwaka 2023 fulani nilipita pannel ya chemistry kuna jamaa aliniambia tangu 2007 yeye anafanyq kazi zote form 4 and 6 sasa swali inaamana hakuna wengine wanaweza kufanya.Na mwingine mwaka jana hawakumwita wakadhani wamemsahau akaenda mpk katika centre wakamwambia jina halipo.
Mkuu mimi kwa ushuhuda ndio mara ya kwanza kupata hii kazi ,ila Katika moja na mbili nikaona kama walio wengi wanafahamiana basi nikamuuliza jamaa ambaye tunakaanae bweni moja changamoto za hii kazi :
1. Ni kazi inayohitaji mtu ajitolee maana inachosha
2. Uwe tayari kufanya kazi yoyote kama kubeba box,kuingiza data,kufanya marking n.k
3. Mazingira (ikumbukwe tunaitumia mabweni ya wanafunzi na baadhi ya vifaa vyao kama magodoro )na mazingira unayofikia unaezapokelewa vizuri au vibaya pia kama hujajipanga utakutana na mfumuko wa bei

Sasa mdau yeye anauzoefu na anasema uvumilivu pia uelewa wa majukumu ndio kitu pekee kinachofanya yeye aweze kushiriki Katika kazi hii kila mwaka,kwangu mimi naona uzoefu ni kitu cha msingi kama hautakuwa na viashiria vya upendeleo na hii kazi ipo Katika ratiba kamili lazma ikamilike kwa muda maalumu.
Kwenye kituo nilipo sijaona ukabila wote zaidi ya uzoefu wa jukumu
 
sasa mara kwanza haya huwezi yaona kuna centa moja mwaka jana ilikiwa bukoba nadhani na mwaka huu ipo com pale kuna ukabila uliopitiliza haya tunayoongea tuna ushaihidi nayo mkuu
 
akienda tu mwambie akumbuke kugawa papuchi kila mwaka ataenda
Pambaneni na hali zenu, kazi yenyewe kila mwaka wanaenda watu wale wale licha ya mke wangu kufanya kazi ya ualimu Kwa zaidi ya miaka 10+ lakini hajawahi kuitwa ila wenzie kila mwaka wamo
 
sasa mara kwanza haya huwezi yaona kuna centa moja mwaka jana ilikiwa bukoba nadhani na mwaka huu ipo com pale kuna ukabila uliopitiliza haya tunayoongea tuna ushaihidi nayo mkuu
Sawa mkuu jee wewe kama external monitor maoni ya kazi yenu haswa ni ipi! Kama kila mwaka na wewe upo kwenye hii kazi huoni pia ni upendeleo kwako hamna watu wengine wenye uwezo wakufanya hii kazi? Kwanini usiandike barua ya wazi kwenda necta juu ya hayo uliyoyashuhudia maana nikudhorotesha kazi hii inayohitaji usimamizi makini
 
Sawa mkuu jee wewe kama external monitor maoni ya kazi yenu haswa ni ipi! Kama kila mwaka na wewe upo kwenye hii kazi huoni pia ni upendeleo kwako hamna watu wengine wenye uwezo wakufanya hii kazi? Kwanini usiandike barua ya wazi kwenda necta juu ya hayo uliyoyashuhudia maana nikudhorotesha kazi hii i
hapana sina lengo la kuzorotesha lengo nikushauri kama kuna uwezekano NECTA iifanyie kazi
 
Mkuu mimi kwa ushuhuda ndio mara ya kwanza kupata hii kazi ,ila Katika moja na mbili nikaona kama walio wengi wanafahamiana basi nikamuuliza jamaa ambaye tunakaanae bweni moja changamoto za hii kazi :
1. Ni kazi inayohitaji mtu ajitolee maana inachosha
2. Uwe tayari kufanya kazi yoyote kama kubeba box,kuingiza data,kufanya marking n.k
3. Mazingira (ikumbukwe tunaitumia mabweni ya wanafunzi na baadhi ya vifaa vyao kama magodoro )na mazingira unayofikia unaezapokelewa vizuri au vibaya pia kama hujajipanga utakutana na mfumuko wa bei

Sasa mdau yeye anauzoefu na anasema uvumilivu pia uelewa wa majukumu ndio kitu pekee kinachofanya yeye aweze kushiriki Katika kazi hii kila mwaka,kwangu mimi naona uzoefu ni kitu cha msingi kama hautakuwa na viashiria vya upendeleo na hii kazi ipo Katika ratiba kamili lazma ikamilike kwa muda maalumu.
Kwenye kituo nilipo sijaona ukabila wote zaidi ya uzoefu wa jukumu
Kwa hiyo ukiwa na uzoefu na ivumilivu ndiyo tiketi eti? Ila daaah!.. tuna mifumo mibovu sana nchi hii, wewe unaona ni sawa kuwa Walimu mpaka wanastaafu hawajawahi kunusa halafu Kuna wenzao tena ajira mpya tu wanatiki kama kawaida kwa kigezo ulichosema?...haa!...haa...haaa..... Kuna mmoja niliongea naye akaniambia hiyo kazi ni ngumu na kuna panel fulani kila wakienda Kuna mmoja wao anakufa duuuh...hiyo ndiyo hoja kweli?
 
Pambaneni na hali zenu, kazi yenyewe kila mwaka wanaenda watu wale wale licha ya mke wangu kufanya kazi ya ualimu Kwa zaidi ya miaka 10+ lakini hajawahi kuitwa ila wenzie kila mwaka wamo
Hao watakuwa wanatoa rushwa ya ngono HAIWEZEKANI Kila mwaka wawepo wao tu.

Ila Ili jambo hata Mimi linaniuma sana Kuna walimu miaka 15+ kazini hajawahi kwenda marking hapo Kuna tatizo kubwa sana.
 
Ila mkuu andika barua ya wazi kwenda NECTA ni wasikivu sana watafanyia kazi maoni yako.
 
Viongozi wa panell kuwapunja stahiki zao wanaofanya shughuli hiyo izogatiwa shughuli hiyo ni ngumu kwani haijulikani per script ni sh ngapi? nauli zinalipwaje'?
Sasa kama hujui per script wanalipwa shilingi ngapi umejuaje kwamba wanapunjwa?
 
Huu uzi umejaa majungu tu kwa muda niliofanya kazi NINAKATAAA

Swaala la Umalaya ni tabia binafsi na haufanyiki kwenye kituo.

Ukabila ntakataa mana database imejaa watu wote... Swala la ujauzito NECTA hua hawafanyi ufutiliaji kila kipindi so waliochaguliwa kutoka kwenye data base yao kuna uwezekano wakawepo wajawazito ni kawaida. Swali ni Je ameshindwa kutekeleza majukumu yake mana ujauzito sio ugonjwa
 
Back
Top Bottom