bob_fundi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2025
- 457
- 705
Ni kweli muda wa kufanya kazi ni mrefu sana .kama ulivyo andika hivyo je naomba kuuliza tenamkuu nimeongelea pannel tatu ya kwanza ya chemistry pili geography na tatu biology ambazo nimekuwa nikitembelea kama external yaani ukabila umezidi, upendeleo umezidi, tumeshauri wizara ya elimu na baraza la mitihani itenganishe usahihishaji wa kidato 4 peke yakee na chapili peke yake lakini necta imetia pam. nilishuhudia markers wakiingia saa 12 asubui na kutoka saa nne mpk saa 5usiku yaaani mda wote huyu mtu anamark! sasa kwanini necta isitenganishe usahihishajinwa form two na form four najua ni gharama mwaka 2023 kuliwahi tokea kesi mwanafuzi wa kidago cha nne katika shule x somo simulizi markers kamkosesha mtoto alipokata rufaaa akakuta alikoseshwa.Inaama markers, Chekers, totals ,enterer hawakuwa makini.Umakini waweza kupungua kutoka na mda mrefu kufanya kazi zaidi ya masaa 14.Tumeshalipigia kelele utaratibu wa usahihishaji urudi kama zamani form kivyake na form kivyake lakini necta wameziba masikio
Mchakato wa kuwapata markers unakuwaje?
Siku za kusahisha,mtihani mmoja mfano form 2 ni siku ngap? Na form 4 ni siku ngap?
Hicho ulichosema hapo mara nyingi ni kupunguza gharama lakn kukiwa na idadi nzuri ya walimu kazi inawezakan kufanyika hata 24hrs .