Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Unamzungumzia Wanu?
Unaona ilo tu hujaona la viongoz wakuu wa nchi kuchagua watot na wakwe zao ,mashemej,washenga wao kua kwenye uongoz? Na ukiuliza utaulizwa kama wanauwezo wanyimwe nafas kisa Wana undugu? Na mm nakuuliza kama watu Wana uwezo na wamesoma wanyimwe nafas kisa wametokea mkoa flan ??Nimejaribu kufuatilia panel mbali mbali za usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne na chapili ambapo nilianza kuhudhuria kama miaka kumi iliopita kama external niliouagundua huko ni mengi lakini kwa haraka nitaeleza machache.
1. Ukabila uliopitiliza kama mwenye kiti wa panel akiwa kabila fulani atajaza watu wa kabila lake mfano nimeudhuria panel ya biology na chemistry geography ukabila umeshika kasi kuna mwenyekiti wa pannel hizoni wachaga kwa kwahiyo wamejaza wachaga wa kutosha katika vitengo vyote vya maamuzi. na wamescreen watu wengi kutoka uchagani ndo maaana mikoa yao lazima ifanye vizuri.
2.Uhuni na umalaya uliopitiliza kuna uhuni na umalaya uliptiliza pindi watu wanapokuwa kwenye mapumziko hususani wakati wa wikiend.
3.kuletwa wa mama wajawazito sijui wanakuwa ni wake za viongozi wa panel wakati shughuli yenywe inakatza watu wajawazito wasiudhurie.
4.Viongozi wa panell kuwapunja stahiki zao wanaofanya shughuli hiyo izogatiwa shughuli hiyo ni ngumu kwani haijulikani per script ni sh ngapi? nauli zinalipwaje'?
MY note baraza la mitihani lifanyoe kazi malalamiko hayo ikizongatiwa kazi ydnyewe ni ngumu
Mm naomba ni kuulize swali hapo.kwan mchakato wakupata hao watu kwenda kwenye panel fulani unafanyika vp?Nimejaribu kufuatilia panel mbali mbali za usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne na chapili ambapo nilianza kuhudhuria kama miaka kumi iliopita kama external niliouagundua huko ni mengi lakini kwa haraka nitaeleza machache.
1. Ukabila uliopitiliza kama mwenye kiti wa panel akiwa kabila fulani atajaza watu wa kabila lake mfano nimeudhuria panel ya biology na chemistry geography ukabila umeshika kasi kuna mwenyekiti wa pannel hizoni wachaga kwa kwahiyo wamejaza wachaga wa kutosha katika vitengo vyote vya maamuzi. na wamescreen watu wengi kutoka uchagani ndo maaana mikoa yao lazima ifanye vizuri.
2.Uhuni na umalaya uliopitiliza kuna uhuni na umalaya uliptiliza pindi watu wanapokuwa kwenye mapumziko hususani wakati wa wikiend.
3.kuletwa wa mama wajawazito sijui wanakuwa ni wake za viongozi wa panel wakati shughuli yenywe inakatza watu wajawazito wasiudhurie.
4.Viongozi wa panell kuwapunja stahiki zao wanaofanya shughuli hiyo izogatiwa shughuli hiyo ni ngumu kwani haijulikani per script ni sh ngapi? nauli zinalipwaje'?
MY note baraza la mitihani lifanyoe kazi malalamiko hayo ikizongatiwa kazi ydnyewe ni ngumu
inaangushwa na watendaji wabovu ambao hawana chembe ya uzaMkuu!
Kwanini umeficha I'd yako halisi!!?
Cha msingi necta waweke link ya kuomba ajira hizo kwenye portal na criteria zitumike kusaili!
Kwamfano;-
Kuwa mwenyekiti wa panel ya geography;-
1.uwe na uzoefu was kusahisha mara Saba au nane!
2.uwe walau una shahada ya SoMo husika.
3.uwe fluent kwenye kiingereza na kiswahili.
4.uwe huna historian ya utovu wa nidhamu kazini!
5.uwe na uwezo wa kushirikiana na wenzako kwenye panel!!
Kwenye swala la nauli:-
Necta iwe na member was sumatra au wazoefu wa maeneo husika anapotoka mtahini!
Kuna wengine wanatoka remote areas vichakani huko ambapo nauli ya kufika bara bara kuu ni piki piki kama 25000 Hadi 30000,Sasa ukimlipa Kwa nauli ya kawaida ya ticketi za ma bus unamuumiza sana!!
Uelewa was kimazingira Kwa NECTA ni mdogo sana ndio maana wanafananisha ufaulu wa shuke za serikali na zile za private huku wakihamasisha walimu was serikali wachape kazi wawafikie kiufaulu wale wa priavate wakati shule za kata Zina mazingira magumu sana kuliko!!
Hope member wa panels watalielewa!
NB:-
Kati ya taaisi ambayo ni sensitive kiutendaji necta ni mojawapo!
Kuna mdau aliwauliza maswali mwaka jana kule Bukoba na kweli jamaa walifika wilaya husika na kufanya uchunguzi na wakaona mapungufu Hadi serikali ikatangaza kwamba wapo tayari kusaidia kulipia vifaa vya sayansi pale ambapo capitation haitoshelezi mahitaji!
Najua fika nectar wataingia mzigoni kufanya uchunguzi kwenye panels mwaka huu na hope wata balance ukabila kama ukibainika!
Asante sana comrade!
inaangushwa na watendaji wabovu ambao hawana chembe ya uzalendo
sasa sina kuna majina ya watahiniwa kwa somo husika (ISAL) upendeleo upande wa necta umezid yaani ni mjuano wa kufa mtuNina wasiwasi na maelezo haya. Ninavyojua NECTA au baraza la mitihani enzi zetu, usahihishaji wa mitihani unahusisha namba yako uliyofanyia mtihani, na ninafikiri kwa kumbukumbu yangu, hatukuandika majina bali namba yako. Mwishowe msahihishaji atadeal na namba na siyo jina ilifanywa hivyo kwa makusudi ili kusiwezekane upendeleo.
Leo Nakwenda Kumwacha Mke Wangu Wa West KilimanjaroSehemu akikaa mchaga tu basi watajazana hapo,hao watu ni mbwa
Soma tena vizuri. Anaongelea upendeleo wa kikabila kwa walimu walio kwenye panel za kusahihisha mitihani, siyo upendeleo kwenye kusahisha.Nina wasiwasi na maelezo haya. Ninavyojua NECTA au baraza la mitihani enzi zetu, usahihishaji wa mitihani unahusisha namba yako uliyofanyia mtihani, na ninafikiri kwa kumbukumbu yangu, hatukuandika majina bali namba yako. Mwishowe msahihishaji atadeal na namba na siyo jina ilifanywa hivyo kwa makusudi ili kusiwezekane upendeleo.
Mwalimu kaumia sana kutoswa kusahihisha,sikiliza mwalimu ,walimu wote hamuwezi kwenda kusahihisha hamtatosha,wewe omba mwakani unaweza pataNimejaribu kufuatilia panel mbali mbali za usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne na chapili ambapo nilianza kuhudhuria kama miaka kumi iliopita kama external niliouagundua huko ni mengi lakini kwa haraka nitaeleza machache.
1. Ukabila uliopitiliza kama mwenye kiti wa panel akiwa kabila fulani atajaza watu wa kabila lake mfano nimeudhuria panel ya biology na chemistry geography ukabila umeshika kasi kuna mwenyekiti wa pannel hizoni wachaga kwa kwahiyo wamejaza wachaga wa kutosha katika vitengo vyote vya maamuzi. na wamescreen watu wengi kutoka uchagani ndo maaana mikoa yao lazima ifanye vizuri.
2.Uhuni na umalaya uliopitiliza kuna uhuni na umalaya uliptiliza pindi watu wanapokuwa kwenye mapumziko hususani wakati wa wikiend.
3.kuletwa wa mama wajawazito sijui wanakuwa ni wake za viongozi wa panel wakati shughuli yenywe inakatza watu wajawazito wasiudhurie.
4.Viongozi wa panell kuwapunja stahiki zao wanaofanya shughuli hiyo izogatiwa shughuli hiyo ni ngumu kwani haijulikani per script ni sh ngapi? nauli zinalipwaje'?
MY note baraza la mitihani lifanyoe kazi malalamiko hayo ikizongatiwa kazi ydnyewe ni ngumu
mkuu nimeongelea pannel tatu ya kwanza ya chemistry pili geography na tatu biology ambazo nimekuwa nikitembelea kama external yaani ukabila umezidi, upendeleo umezidi, tumeshauri wizara ya elimu na baraza la mitihani itenganishe usahihishaji wa kidato 4 peke yakee na chapili peke yake lakini necta imetia pamba. nilishuhudia markers wakiingia saa 12 asubui na kutoka saa nne mpk saa 5usiku yaaani mda wote huyu mtu anamark! sasa kwanini necta isitenganishe usahihishajinwa form two na form four najua ni gharama mwaka 2023 kuliwahi tokea kesi mwanafuzi wa kidago cha nne katika shule x somo simulizi markers kamkosesha mtoto alipokata rufaaa akakuta alikoseshwa.Inaama markers, Chekers, totals ,enterer hawakuwa makini.Umakini waweza kupungua kutoka na mda mrefu kufanya kazi zaidi ya masaa 14.Tumeshalipigia kelele utaratibu wa usahihishaji urudi kama zamani form kivyake na form kivyake lakini necta wameziba masikioMm naomba ni kuulize swali hapo.kwan mchakato wakupata hao watu kwenda kwenye panel fulani unafanyika vp?
Nimeona umeongelea panel moja tu hiyo ya bios,geo na chem vp hizo nyingine?
Pia sifa zipoje kwa sababu kuna walimu mwenye uwezo mdogo.uwezi mpeleka kafanye marking kwa mitihani mingi hivyo.
Wapo wenye uzoefu na hiyo kazi lazima wawe kipaumbele ilikufanya kazi kwa umakini na usanifu . Wapo mwenye uwezo mkubwa kwa hiyo wanaweza kufikiria kwa mapana zaidi kuliko kulenga karatasi ya majibu tu kama ilivyo.
haya kila anaeshauri unahisi ni muanga ?miaka 10 nimekuwa nikifanya external na uhakika naya nayoyaongea mwaka jana nilikuwa MARA na pia nilipata nilipita shinyanga mwaka juzi mbeya mwaka huu nipo pwaniMwalimu kaumia sana kutoswa kusahihisha,sikiliza mwalimu ,walimu wote hamuwezi kwenda kusahihisha hamtatosha,wewe omba mwakani unaweza pata
Kuna kitu hakiko sawa, wewe ni Mwalimu au external?Nimejaribu kufuatilia panel mbali mbali za usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne na chapili ambapo nilianza kuhudhuria kama miaka kumi iliopita kama external niliouagundua huko ni mengi lakini kwa haraka nitaeleza machache.
1. Ukabila uliopitiliza kama mwenye kiti wa panel akiwa kabila fulani atajaza watu wa kabila lake mfano nimeudhuria panel ya biology na chemistry geography ukabila umeshika kasi kuna mwenyekiti wa pannel hizoni wachaga kwa kwahiyo wamejaza wachaga wa kutosha katika vitengo vyote vya maamuzi. na wamescreen watu wengi kutoka uchagani ndo maaana mikoa yao lazima ifanye vizuri.
2.Uhuni na umalaya uliopitiliza kuna uhuni na umalaya uliptiliza pindi watu wanapokuwa kwenye mapumziko hususani wakati wa wikiend.
3.kuletwa wa mama wajawazito sijui wanakuwa ni wake za viongozi wa panel wakati shughuli yenywe inakatza watu wajawazito wasiudhurie.
4.Viongozi wa panell kuwapunja stahiki zao wanaofanya shughuli hiyo izogatiwa shughuli hiyo ni ngumu kwani haijulikani per script ni sh ngapi? nauli zinalipwaje'?
MY note baraza la mitihani lifanyoe kazi malalamiko hayo ikizongatiwa kazi ydnyewe ni ngumu
Kwa hiyo akifaulu somo A lazima afaulu na somo B?.Jamani bora mmesemea hili, huko kwenye usahihishaji kuna ukiritimba sana.
Sitasahau Geography Necta 4m 4, mwaka wetu, pale shule tulibananga vibaya, japo shule ya serikali na ni bweni kitaifa jinsia 1.
Hadi kila mtu anajiuliza imekuaje hii??
Wanafunzi 75+, A zilikua 2, B ilikua 1, jamani C ndo zilitapakaa hapo, D zilikua 3.
Yaan mtu chem na Phys ana A au B, geog ana C.
😂😂😂😂😂 khaaaaah.
Tutawaona vyuo vikuu watafanya nn acha wawape marks za form fourNimejaribu kufuatilia panel mbali mbali za usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne na chapili ambapo nilianza kuhudhuria kama miaka kumi iliopita kama external niliouagundua huko ni mengi lakini kwa haraka nitaeleza machache.
1. Ukabila uliopitiliza kama mwenye kiti wa panel akiwa kabila fulani atajaza watu wa kabila lake mfano nimeudhuria panel ya biology na chemistry geography ukabila umeshika kasi kuna mwenyekiti wa pannel hizoni wachaga kwa kwahiyo wamejaza wachaga wa kutosha katika vitengo vyote vya maamuzi. na wamescreen watu wengi kutoka uchagani ndo maaana mikoa yao lazima ifanye vizuri.
2.Uhuni na umalaya uliopitiliza kuna uhuni na umalaya uliptiliza pindi watu wanapokuwa kwenye mapumziko hususani wakati wa wikiend.
3.kuletwa wa mama wajawazito sijui wanakuwa ni wake za viongozi wa panel wakati shughuli yenywe inakatza watu wajawazito wasiudhurie.
4.Viongozi wa panell kuwapunja stahiki zao wanaofanya shughuli hiyo izogatiwa shughuli hiyo ni ngumu kwani haijulikani per script ni sh ngapi? nauli zinalipwaje'?
MY note baraza la mitihani lifanyoe kazi malalamiko hayo ikizongatiwa kazi ydnyewe ni ngumu
Soma muandiko wako.Umeandika kama mwanafunzi wa la 7,,yaani watu wale Raha we uteseke
Ndo wamelifikisha taifa hapa...ile tareh 29 ningeyakuta na minguo yao ya tume ningeyatia viboko..ila yalibadilisha mapema baada ya mambo kuaribikaAkili za walimu utaziweza,, hapo anawaza viposho vya kusahihisha mitihani,,, Si ajabu ni Moja ya KADA ambazo CCM wanaziendesha kama magari mabovu,, watu wanaleta MADA sensitive za kubadili mifumo ambayo ubovu huo ndo matokeo yake,, yeye analeta Vioja