muvangulumemile
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 686
- 966
Unafikiri Kwa nn watu wengi bado wanapanda pantoni kama hilo daraja ni rahisi kihivyo?Daraja lipo free ni ww tu kuvuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri Kwa nn watu wengi bado wanapanda pantoni kama hilo daraja ni rahisi kihivyo?Daraja lipo free ni ww tu kuvuka
Kumbuka daraja linatumiwa zaidi na wenye usafiri pantoni linajazwa na watembea kwa mguu... Kuna mtu anatembea from kkoo to kivukoni ili apande pantoni avuke aende tena mpaka mnadani kwa mguu ila wengi wanaopitia darajani anakua kapanda bus pikipiki au gari binafsi huwezi tembea kkoo mpka kiga kwa mguu kupitia daraja utasaga kende😂😂😂Unafikiri Kwa nn watu wengi bado wanapanda pantoni kama hilo daraja ni rahisi kihivyo?
Alafu kama unajipenda bora upite darajani nimeshashuhudia kivuko kikipoteza uelekeo kikaenda kukwamia jeshini kule nilikua nasubiri kivuko nikageuza ngoma nikalitafuta daraja na tiketi nilishakata majamaa wananiambia pantoni linakuja subiri nikawaomba tu nimepata dharura nikazunguka ya darajani nikaendelea na harakati zanguUnafikiri Kwa nn watu wengi bado wanapanda pantoni kama hilo daraja ni rahisi kihivyo?
Kuna Yale Malori Yanaegeshwa hadi Unajiuliza ni Binaadamu hawa Au Robbots? Kiufupu ngozi Nyeusi Sio WastaarabuUnafikiri Kwa nn watu wengi bado wanapanda pantoni kama hilo daraja ni rahisi kihivyo?
Shilingi ngapi wanatoza?Yaa zile za wavuvi,hazina kulemba hata mkiwa wawili,chombo inatembea
HamnaKuna ambaye hatokufa hapa duniani?
Kigamboni ni Mji maalumu kwa Watu Maalumu, siyo kama Manzese kila mtu anaweza ishii!!Mimi ndio maana kigamboni kumenikalia kushoto aisee. Imagine unapangiwa kurudi nyumbani kwako.
kigamboni ni kwa kikenge sanaKigamboni ni Mji maalumu kwa Watu Maalumu, siyo kama Manzese kila mtu anaweza ishii!!
Kwani zile za azam hazipo?Wakuu,
Hali ya usafiri Kigamboni leo sio shwari. Kama mnavyoona watu wapo wa kutosha. Pantoni linalotumika ni moja tu, likipakia tunasubiri ligeuze kuja kutufate wengine huku. Utafikiri sio weekend.
Hakuna backup ikitokea kuna shida kama hivi? Maana jinsi watu wanasukumana kuingia ni balaa, yanaweza kutokea maafa hivihivi kimasihara huku tunaangalia.
Ikiwa hatuna backup basi kuwe na utaratibu mzuri kusimamia watu yasitokee mengine, hasa ukuzingatia kuna watoto, wanawake, wazee na wenye ulemavu ambako kwenye msongamano kama huu bila usimamizi mzuri kuna uwezekano mkubwa wa tatizo kutokea.
Darajani lazima ulipie chombo chakoDaraja lipo free ni ww tu kuvuka
Na pantoni halina stuffDarajani lazima ulipie chombo chako
Hata bure wagawe viwanja mkuu kule sio kwa kukaa huna tofauti na mzanzibar siku bakhresa akikasirika hamna usafiri.Mimi ndio maana kigamboni kumenikalia kushoto aisee. Imagine unapangiwa kurudi nyumbani kwako.
Pigeni mbiziWakuu,
Hali ya usafiri Kigamboni leo sio shwari. Kama mnavyoona watu wapo wa kutosha. Pantoni linalotumika ni moja tu, likipakia tunasubiri ligeuze kuja kutufate wengine huku. Utafikiri sio weekend.
Hakuna backup ikitokea kuna shida kama hivi? Maana jinsi watu wanasukumana kuingia ni balaa, yanaweza kutokea maafa hivihivi kimasihara huku tunaangalia.
Ikiwa hatuna backup basi kuwe na utaratibu mzuri kusimamia watu yasitokee mengine, hasa ukuzingatia kuna watoto, wanawake, wazee na wenye ulemavu ambako kwenye msongamano kama huu bila usimamizi mzuri kuna uwezekano mkubwa wa tatizo kutokea.
Kuiba fedha za ummaHivi ninyi CCM ,mnaweza kusimamia nini labda??
Kwanini utembee kutoka Kariakoo mpaka Kivukoni,Kg na kuna daladala kutoka Machinga complex kwenda Kg?Kumbuka daraja linatumiwa zaidi na wenye usafiri pantoni linajazwa na watembea kwa mguu... Kuna mtu anatembea from kkoo to kivukoni ili apande pantoni avuke aende tena mpaka mnadani kwa mguu ila wengi wanaopitia darajani anakua kapanda bus pikipiki au gari binafsi huwezi tembea kkoo mpka kiga kwa mguu kupitia daraja utasaga kende😂😂😂