Panya 100 Wafuzu, waenda Ughaibuni kufanya kazi

Wenzetu wanatengeneza marobot sisi panya.
Kweli nchi inakwenda mbele
 
Mbogamboga wamemaliza bandari, vitalu mbalimbali sasa wamehamia kuuza panya buku
 
Kama panya buku kila wakihitimu wanalamba ajira fasta namna hiyo-tena nje ya nchi- naishauri SUA iachane na biashara kichaa ya kufyatua graduate ambao hawaajiriki.

SUA Wajikite kufundisha mapanya tu ili uchumi ukue
 
Hao Kustaafu Hadi Kifo
 
Hao panya wakati wa mafunzo huwa wanapewa zawadi anapokuwa amepatia baadae humjengea confidence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…