Panya Magawa mahiri kwa kubaini mabomu ya kutegwa ardhini amekufa nchini Cambodia

Mkuu Mshana jr any updates kuhusu Mazishi ya Jemedari wetu Magawa tafadhali
 
Watanzania wengi wanakosa huduma za kijamii lakini kuna fungu la kuwatunza Hawa panya hadi uzeeni. Hii si sawa kabisa yani mnatunukia panya nishan ya dhahabu kweli?

Fakin' rodent!
Usimuonee donge Hayati Magawa yoote hayo ni kwa juhudi za upeo wake wa kufikiri na kiutendaji
 
Kwahiyo atazikwa au watawapatia wenzetu wa kusini kitoweo
 
Kutegua tena [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Huyo Panya afanyiwe mazishi ya heshima kwa mchango wake alioutoa kwa jamii enzi za uhai wake,kama vile mazishi wanayofanyiwa Mbwa wa Polisi huko mambele.
 
Kunguni ni silaha kali sana ya kibaiolojia inayoweza kutumika vitani badala ya riasasi na mabomu.

Kiundwe kitengo jeshini kitakachohusika na usimamizi wa brigade ya kunguni,na labda chawa na nyuki....

Ni katika kumuenzi panya wa Tanzania aliyefanya maajabu.
 
Huyo Panya afanyiwe mazishi ya heshima kwa mchango wake alioutoa kwa jamii enzi za uhai wake,kama vile mazishi wanayofanyiwa Mbwa wa Polisi huko mambele.
General MAGAWA ameshazikwa huko Cambodia.

Habari mbaya ni kwamba... General MAGAWA hakupigiwa mizinga wala bunduki, amezikwa kama panya wanaoiba mboga majumbani.
 
Ametangazwa kila kona ya dunia Hero wetu ila jamani marehemu angeletwa tukamuona azungushwe kila kona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…