Panya Road waiba na kujeruhi Kilungule Mbagala

CCM wameshindwa kazi ya kuongoza nchi, nchi inaenda mrama
 
Haya matoto yanajulikana kamateni mmoja apewe kifinyo atawaongoza maskani yao wote.Then waueni wote.Wanajeshi nawakubali sana wakiibiwa wanakamata mwizi mmoja tu ila mtatajana wote.
 
Haya matoto yanajulikana kamateni mmoja apewe kifinyo atawaongoza maskani yao wote.Then waueni wote.Wanajeshi nawakubali sana wakiibiwa wanakamata mwizi mmoja tu ila mtatajana wote.
Yule ambaye amethibitishwa UA
 
A clusterfuck of a country.

Huku tozo huku panyaroad.
 
Akinyoosha kidole tu, akutanishwe na muumba wake, hamna namna!
 
Reactions: EEX
Jeshi la wananchi liingie kazini siku 3 za toshasaa hata 10 doria
Jeshi la Wananchi la nini kwa vitoto visivyokua hata na gobole!? Police bado hawajaamua ku deal na hivyo vi panya road perpendicular!!!
 
Wale vijana wa jkt walioko mtaani bila ajira wangerudishwa camp kama wiki hivi halafu waingizwe mtaani hata wiki aifiki panya road itakua historia,miaka ya nyuma nasikia jkt walikua wanapiga kazi hizo za mitaani
 
Dah! naona polisi wamezidiwa strategy........sijui nani sasa wapewe jukumu hilo, au tuache iwe freestyle.
 
Wale vijana wa jkt walioko mtaani bika ajira wangerudishwa camp kama wiki hivi halafu waingizwe mtaani hata wiki aifiki panya road itakua historia,miaka ya nyuma nasikia jkt walikua wanapiga kazi hizo za mitaani
Tatizo la hao vijana wa JKT wao wakijua hiyo Nyumba anaishi panya road,huwa wanapiga Nyumba nzima hadi vikongwe wasipopata ushirikiano!!
 
Dar bila Makonda haiwezi kamwe kuwa salama, Makala keshaota kitambi hana muda wa kukimbiza panya, Samia tuletee Bashite wetu ashike usukani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…