Panya Road waiba na kujeruhi Kilungule Mbagala

Nawaza tuu JPM angekuwepo na Makonda wake...
Dadeki hii safu tutaimisi sanaa hiki kizazi.

Maana mpaka kina Manji walinyooshwa wakanyooka mpaka sasa sijui wako wapi.
Broo Makonda aliikamata Dar ikakamatika.
Mpaka wabunge walitaka kulia kuskia kuitwa wazururaji kama wazururaji wengine ha..

Na miss sanaa na hisi Dar haijapata mwenyewe kama mwenye Dar yake kama Paul Makonda.
Kijana wa koromije.
 
Yani kosa la mtoto akashtakiwe Baba au mama ?

Hao kamata piga Shaba kazi Kwisha. Haiwezekan wewe unakata wenzako mapanga halafu ukikamatwa watafutwe Baba na mama zako. Ukitaka kuua na wewe uuliwe. Full stop.

Msituletee hadithi za Alinacha hapa.

Ua na wewe uuawe.


Police acheni wafanye KAZI Yao.
 
Hutasikia wamekanyaga kigambo afande khamis aunawafanyaga vibaya
 
Tatizo ni
Jamii
Hii ndo huwalea, inawajua kabisa, inajua magenge yote ya bangi, haina ushirikiano na polisi,

Wanasiasa na wanaharakati

Panyaroad wakiumiza watu wanasiasa wataongea ili serikali ionekane vibaya, Wanaharakati watakuwa kimyaaa

Panyaroad wakiumizwa, wanaharakati wanasema haki za binadamu hazijafuatwa, wanasiasa nao watasema haki haijatendeka

Polisi

Lawama zatupiwa polisi ila polisi kisheria sio mahakama, yeye kazi yake kukamata tu, wengi wao ni watoto wadogo, hivyo inakuwa kazi kuwatunza polisi au magerezani
 
Afu si kuna gari la polisi lilizuiliwa lisipite mwendo kasi! Nasikia lilikuw linawahi kuzuia panya road wasivamie watu wa mbagala[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hili si swala la kusubiri Polisi au Mgambo,ni swala la kila Mwananchi kushiriki katika Ulinzi shirikishi! Polisi na mgambo hawatoshi kabisa.Isitoshe huenda waharifu wanakaa katika makazi yetu msako ufanyike kubaini watu hao.
 
Hii kazi wapewe jeshi la ulinzi mapema kabla ya hawa watu hajapata support ya waasi, Polisi wetu wameshindwa
Huwez ukawapa jw kaz ya kitoto hiyo ....
Ni uzembe tu wa baadhi ya watu dats all..
 
Safi sana, twende mwendo huu huu hadi Katiba Mpya ipatikane.
 
Atokee sniper mmoja tu awamalize kimya kimya itapendeza wanatia hasara sana na kuumiza familia za watu kwa vifo,ulemavu,umaskini
 
Hizi kazi za kuwasaka hawa wadudu ingepewa JKT
 
Wakateni viganja vya mikono wasiweze kuiba tena
 
Kaka Mshana Jr ebu sema neno kidogo, a new MKIRU project is on its way for reformation. One day this country with flagship project mithili ya a new bokoharam.

Tanzania is the next Nigeria in the making, Magufuli alikwepesha mpango wao ukaenda Msumbiji ila lengo ni Tanzania.

Tuombe heri ya kuishi kwingi tushudie neema na madhira ya ndoto yakitamalaki.
 
Yule alikuwa miongoni mwa vijana weny uthubutu mkubwa na haiba ya uongozi maana anajiamini..
Ndo inavyotakiwa kama unaingiza watu wa aina tofauti wasomi na vilaza ,watu wa rika tofauti basi ujiamini kama makonda.
 
Sasa watoto sahv kutwa wako kwenye matamasha ya wasanii na masingeli,na kwenye makamali

Ova
 
Hahahaha hahahaha

Naona mwanangu u angalau na kupuliza,unangogaa huko unazomea
[emoji1] [emoji2]

Ova
 
Kuwa siriasi kidogo Yani polisi ifikirie jinsi ya kuwatunza watoto panyard anbao Kila siku wanaua na kujeruhi watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…