Panya Road waiba na kujeruhi Kilungule Mbagala

Ccm mbele kwa mbele
 
Hizo habari kama ni za kweli basi kuna shida sehemu kwenye uongozi na utendaji wa usalama. Tukio la panya road kuua na kujeruhi pamoja na kuiba lilitakiwa liwe ni la bahati mbaya teni ni mara moja. Na within 24 hours walitakiwa wote kuwa wamekamatwa. Lakini sasa kabla moja halijapoa tunasikia lingine kweli? Maswali ni mengi ya kujiuliza. Jeshi letu la polisi wamekwama wapi? Kama kuna special unit kwa ajili ya majambazi why not treat panya road kama majambazi pia? Je polisi imezidiwa mbinu na panya road? Tumekubali kuwa chini ya panya road? No we need to do something mapema kabla hawajatupanda kichwani
 
Hii kazi wapewe jeshi la ulinzi mapema kabla ya hawa watu hajapata support ya waasi, Polisi wetu wameshindwa
Hivi wale waliokomesha mauaji ya kule pande za Kibiti, Mkuranga........walikuwa wanajeshi au police?
 
Sijaelewa tatizo liko wapi mpaka hawa watoto wanasumbua kiasi hiki.
 
Nakumbuka Jiwe lilikohoa tuu hawa panya wote wakapotea... Sometimes nalielewa sana Jiwe.
 
Jamii inajua vijiwe vya bangi na polisi pia inajua vijiwe vyote vya bangi na gongo shida wanaenda kuchukua mgao wao biashara inaendelea kama kawaida je hapo raia unafanyaje
 
Kapange self bana hao panya road wenyewe watakuogopa[emoji23]

Tamthilia ya Jua kali,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…