Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute kituo cha jirani kina askari 3 tu.......Ilaa hana hata namba ya simu ya kituo cha polisi awaite wenzie waje wawashuhudie?
Mkuu kwa kweli hata mm nimeshangazwa sana jana watu wanakimbia ovyo kuanzia zakhem hadi charambe yote wanawake kwa mwanaume!!!!!nilichojiuliza wanaume kweli wanashindwa kupambana na hawa watoto wasiokua na SMG wala gobole kweli?????eti na wao wanakimbia loooooh chefuuuuuuuu$@%@@Hapo stendi hapakuwepo na wanaume?
Hivyo vitoto vitavamiaje stendi na kuanza kupiga na kupora watu?
Watanzania wengine ni watu wa ajabu sana. Yaani watu mpo stendi mnaachia vitoto viwapore na kuwapiga?
Wahshi kabisa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] traffic hawataki kufa wakiwa kazini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu cha kuchekesha zaidi baadae ikasemekana hawakua panyaroad watu tu walijitaharukishaHawa jamaa wapo wangapi na wana silaha gani kiasi cha kukimbiza stendi nzima?
Isijekua watu wawili tu wanakimbiza wanaume 50, hata mawe watu mmeshindwa kuyakumbuka, hehehe! leo nimeamini kale kamsemo "wanaume wa dar"
ww hujakimbia[emoji15]Mkuu kwa kweli hata mm nimeshangazwa sana jana watu wanakimbia ovyo kuanzia zakhem hadi charambe yote wanawake kwa mwanaume!!!!!nilichojiuliza wanaume kweli wanashindwa kupambana na hawa watoto wasiokua na SMG wala gobole kweli?????eti na wao wanakimbia loooooh chefuuuuuuuu$@%@@
ww hujakimbia[emoji15]
Mkuu kama unaweza kupambana na watu zaid ya 20 wenye mapanga bisibisi visu marungu pliz fanya uje utusaidie kuwaondoa hawa watoto[emoji28][emoji23]Mimi namtamani siku nikutane na mmoja nadhani nitakua maarufu kwa ntakachomfanya
Mkuu hii tread yako iko kiuzalilishaji zaidi na kiuchochezi tena mno[emoji86] [emoji86]Tukio hili limetokea leo saa 3 usiku Mbagala mwisho na shuhuda wa tukio hilo nikiwa mimi mwenyewe.
Nikiwa njiani narudi nyumbani kulitokea taharuki kubwa baada ya tetesi kusikika kuwa Vijana watukutu maarufu kama PANYA ROAD wamevamia stand ya Mbagala wakifanya wakipora mali na kupiga watu hovyo ndipo wananchi walianza kukimbia huku na kule kuokoa maisha yao.
KILICHONISHANGAZA
Nikiwa kwenye foleni nimeshuhudia Trafiki waliokuwa zamu wakitimka mbio huku wakivua kofia na mashati yao meupe na kubaki na nguo za ndani maarufu kama sing'lendi.
Swali nalojiuliza hawa askari wetu wanashindwa hata kufanya upepelezi wa mwanzo kujua adui yuko upande gani,ana siraha gani na atakabiliana naye vipi.
Mimi wa stendi au!!!Hapo stendi hapakuwepo na wanaume?
Hivyo vitoto vitavamiaje stendi na kuanza kupiga na kupora watu?
Watanzania wengine ni watu wa ajabu sana. Yaani watu mpo stendi mnaachia vitoto viwapore na kuwapiga?
Wahshi kabisa!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15]wazee wa interigensia mpooo?
Acha dharau mkuu punguzo mteroHahaa polisi waoga tena wanakimbia huku wakitizama nyuma,aibu sana jeshi la polisi.
ajabu sana tena mbagala mida hiyo ndio kama asubuhiHapo stendi hapakuwepo na wanaume?
Hivyo vitoto vitavamiaje stendi na kuanza kupiga na kupora watu?
Watanzania wengine ni watu wa ajabu sana. Yaani watu mpo stendi mnaachia vitoto viwapore na kuwapiga?
Wahshi kabisa!!