Panya road waibua taharuki Mbagala

Panya road waibua taharuki Mbagala

Ni vizuri Trafiki wakimbie kwani wananchi wao mbona wanakubali kunyanyaswa na watoto wanaume wa dar duuuhh
 
Aisee hao panya road wangehamishiwa hapo kwa kagame kwa wiki 1 tu, kama wangekuja kusikika tena.
 
Ilaa hana hata namba ya simu ya kituo cha polisi awaite wenzie waje wawashuhudie?
Ukute kituo cha jirani kina askari 3 tu.......

Ila mbagala kule si kuna kituo kikubwa paoe mabatini (sijui ndio rangi 3????) Au taharuki ya kujiokoa wakasahau kama wana simu
 
Tatizo Dar ya sasa imejaa wageni wengi,hawana umoja na hawajisikii kuwa huu mji ni mali yao.Ni opportunists wamekuja kuchuma tu.
Hao watoto wengi baba zao ni wenyeji wa mji,wana umoja na wanalindana katika uovu wao.
Tembeleeni maeneo korofi,mtagundua mara nyingi wezi,vibaka,mateja wanatoka familia ambazo ni wenyeji wa siku nyingi wa maeneo hayo.
Dar ya zamani makundi kama haya yalikuwa yanadumu miezi miwili tu,watu wakiona polisi iko kimya walikuwa wanajiongeza wenyewe,piga,ua,choma moto hadi serikali inaingilia kati,na haya makundi yakawa hayadumu muda mrefu.Sometimes dawa ya uhuni ni uhuni.
Hawa wahuni wanatakiwa kupewa show ya wiki mbili tu waelewe jamii imejaa watu waliopinda kuzidi wao, hadi polisi waingie mitaani kuwatetea.
Watu wa Dar tuache undezi!
 
Hapo stendi hapakuwepo na wanaume?

Hivyo vitoto vitavamiaje stendi na kuanza kupiga na kupora watu?

Watanzania wengine ni watu wa ajabu sana. Yaani watu mpo stendi mnaachia vitoto viwapore na kuwapiga?

Wahshi kabisa!!
Mkuu kwa kweli hata mm nimeshangazwa sana jana watu wanakimbia ovyo kuanzia zakhem hadi charambe yote wanawake kwa mwanaume!!!!!nilichojiuliza wanaume kweli wanashindwa kupambana na hawa watoto wasiokua na SMG wala gobole kweli?????eti na wao wanakimbia loooooh chefuuuuuuuu$@%@@
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] traffic hawataki kufa wakiwa kazini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Hawakutaka kufa kishujaa
 
Hawa jamaa wapo wangapi na wana silaha gani kiasi cha kukimbiza stendi nzima?
Isijekua watu wawili tu wanakimbiza wanaume 50, hata mawe watu mmeshindwa kuyakumbuka, hehehe! leo nimeamini kale kamsemo "wanaume wa dar"
Halafu cha kuchekesha zaidi baadae ikasemekana hawakua panyaroad watu tu walijitaharukisha
 
Kwa mwendo huu bora wamwachie Scorpion tu awasaidie...nasikia pale Buguruni aliwanyoosha mateja na vibaka...wampe tu mkataba wa kueleweka na kibali cha kuwashughulikia wahalifu
 
Kwahili nawatetea wanaume wa dar... mimi mwenyewe nmewakimbia aisee siwez shndana na vichaa wenye mapanga na bisibisi[emoji28]kuna jamaa wamemkata sikio
 
Mkuu kwa kweli hata mm nimeshangazwa sana jana watu wanakimbia ovyo kuanzia zakhem hadi charambe yote wanawake kwa mwanaume!!!!!nilichojiuliza wanaume kweli wanashindwa kupambana na hawa watoto wasiokua na SMG wala gobole kweli?????eti na wao wanakimbia loooooh chefuuuuuuuu$@%@@
ww hujakimbia[emoji15]
 
Ngoja tufanye utaratibu wa kuwaletea wanawake 6 kutoka Tarime kwa mda wa week 3 naona mnatia aibu yaani stend nzima mnakimbia!!! wanaume mnashindana na wake zenu kukimbia sasa watoto mnawaacha wapi???
 
Mimi namtamani siku nikutane na mmoja nadhani nitakua maarufu kwa ntakachomfanya
Mkuu kama unaweza kupambana na watu zaid ya 20 wenye mapanga bisibisi visu marungu pliz fanya uje utusaidie kuwaondoa hawa watoto[emoji28][emoji23]
 
Tukio hili limetokea leo saa 3 usiku Mbagala mwisho na shuhuda wa tukio hilo nikiwa mimi mwenyewe.

Nikiwa njiani narudi nyumbani kulitokea taharuki kubwa baada ya tetesi kusikika kuwa Vijana watukutu maarufu kama PANYA ROAD wamevamia stand ya Mbagala wakifanya wakipora mali na kupiga watu hovyo ndipo wananchi walianza kukimbia huku na kule kuokoa maisha yao.

KILICHONISHANGAZA
Nikiwa kwenye foleni nimeshuhudia Trafiki waliokuwa zamu wakitimka mbio huku wakivua kofia na mashati yao meupe na kubaki na nguo za ndani maarufu kama sing'lendi.
Swali nalojiuliza hawa askari wetu wanashindwa hata kufanya upepelezi wa mwanzo kujua adui yuko upande gani,ana siraha gani na atakabiliana naye vipi.
Mkuu hii tread yako iko kiuzalilishaji zaidi na kiuchochezi tena mno[emoji86] [emoji86]
 
Hapo stendi hapakuwepo na wanaume?

Hivyo vitoto vitavamiaje stendi na kuanza kupiga na kupora watu?

Watanzania wengine ni watu wa ajabu sana. Yaani watu mpo stendi mnaachia vitoto viwapore na kuwapiga?

Wahshi kabisa!!
Mimi wa stendi au!!!
 
Hapo stendi hapakuwepo na wanaume?

Hivyo vitoto vitavamiaje stendi na kuanza kupiga na kupora watu?

Watanzania wengine ni watu wa ajabu sana. Yaani watu mpo stendi mnaachia vitoto viwapore na kuwapiga?

Wahshi kabisa!!
ajabu sana tena mbagala mida hiyo ndio kama asubuhi
 
Back
Top Bottom