JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Kila kitu mtu mweusi "anaomba Mungu"anasubili miujiza,hakuna miujiza bila kazi ya mikono,Mungu mkuu hajawahi kushindwa, ataokoa Tu waja wake Kwa namna yake!
Tuombe kayafa afufuke....Ujangiri kuua tembo umerudi, upigaji kwenye miradi ya serikali, biashara ya madawa ya kulevya, panya road pia wamerudi, tutasikia mengi sana
Mamakimbo na Kimbembe tokeni kwenye saluni yenu mje mtueleze hivi vitoto vidogovidogo amevizaa nani?Nahisi kabisa kuna watu, wako nyuma ya kundi la hawa magaidi Lengo lao ni hii nchi isitawalike
Neno gaidi limekosa thamani sana siku hizi 😎.Nahisi kabisa kuna watu, wako nyuma ya kundi la hawa magaidi Lengo lao ni hii nchi isitawalike
kipindi cha huyo mwendazake hukuwahi kusikia habari za panya roadWalete hapa vinginevyo acha siasa za mwendazake.
Putin na Zelensiky ndivyo tunavuoambiwa mkuu kuwa ndo chanzo.Kwanini haya matukio ya uhalifu wa mtaani,hujirudia kwa baadhi ya awamu?
Maana sio tu kwa Dar, hata mkoani watu wanalalamika wizi wa mtaani kurudi kwa kasi. Tatizo ni nini??
Kwa nini huku Dar msiwe na ulinzi shilikishi? Hakuna polisi wa kukaa kila nyumba..Nahisi kabisa kuna watu, wako nyuma ya kundi la hawa magaidi Lengo lao ni hii nchi isitawalike
Labda ulikuwa unaishi ushuani au mkoanikipindi cha huyo mwendazake hukuwahi kusikia habari za panya road
Nilijua tu wajane wa marehemu hamtajikosha kwa yule ibilisiKwanini haya matukio ya uhalifu wa mtaani,hujirudia kwa baadhi ya awamu?
Maana sio tu kwa Dar, hata mkoani watu wanalalamika wizi wa mtaani kurudi kwa kasi. Tatizo ni nini???
Ni lazima tujiulize maswali mengi, kwa nini kipindi cha JPM hakukuwa na hao panya road na kwa nini sasa?Kwa nini huku Dar msiwe na ulinzi shilikishi? Hakuna polisi wa kukaa kila nyumba..
Hamia burundi, Tz sio salamaUjangiri kuua tembo umerudi, upigaji kwenye miradi ya serikali, biashara ya madawa ya kulevya, panya road pia wamerudi, tutasikia mengi sana
Endelea kujiuliza ukipigwa bisibisi utakuja kunishukuruNi lazima tujiulize maswali mengi, kwa nini kipindi cha JPM hakukuwa na hao panya road na kwa nini sasa?
Wameanza kwa mapanga na mwishowe mtasikia wanatumia bunduki, kwa sabb hao hawako peke yao, ni mkono mrefu huo,
Maana haiwezekani I we tuu ghafula baada ya utawala wa JPM kuisha, je, walikwenda wapi panya hao?
Polisi na panya road wanajuana, na huwenda ni maswahiba