Panya Road waibuka tena Buza, wajeruhi watu na kuchoma mtoto Bisbisi ya kichwa

Panya Road waibuka tena Buza, wajeruhi watu na kuchoma mtoto Bisbisi ya kichwa

Mungu mkuu hajawahi kushindwa, ataokoa Tu waja wake Kwa namna yake!
Kila kitu mtu mweusi "anaomba Mungu"anasubili miujiza,hakuna miujiza bila kazi ya mikono,
Weka sungu sungu,ulinzi shirikishi,tafuta vijana wasio na kazi mtaani,funga kamba,ambaye DNA zake zitakutwa kwenye siraha zilizokamatwa au kwenye miili ya waanga,huyo ni Shaba tu,na jeshi letu ni la hovyo sana,wanasiasa wakitaka kuundamamana,utaambiwa taarifa za intelijensia zinasema kutakuwa na fujo,lakini intelijensia hiyo inashindwa kuzuia panya road
 
Hatari sana,

sasa mtoto unapigaje bisibisi!? Kwani wanataka nini hawa panya
 
Ianzishwe operation kula panya, kamanda atoke Nakapanya. Chamaki nchanga haiwezi kula Mutu chichi chinyamache.
 
Kwanini haya matukio ya uhalifu wa mtaani,hujirudia kwa baadhi ya awamu?
Maana sio tu kwa Dar, hata mkoani watu wanalalamika wizi wa mtaani kurudi kwa kasi. Tatizo ni nini??
Putin na Zelensiky ndivyo tunavuoambiwa mkuu kuwa ndo chanzo.
 
Panya road ni mkono wa polisi,

Kama sivyo, iweje awamu oliyopita hakukuwa na hao panya road? Kwa nini sasa!!

Hao panya road hutumika na polis kwa kujipatia kipato fulls top!!!
 
Tembeeni na mapanga kama Wapemba,kuna mtu yeyote amewahi kutembelea Pemba,kila ntu ana jisule kiunoni au sime.
 
Kwanini haya matukio ya uhalifu wa mtaani,hujirudia kwa baadhi ya awamu?
Maana sio tu kwa Dar, hata mkoani watu wanalalamika wizi wa mtaani kurudi kwa kasi. Tatizo ni nini???
Nilijua tu wajane wa marehemu hamtajikosha kwa yule ibilisi

Hivi kipindi cha yule ibilisi si ndio Mo Dewji alitekwa? Angetekwa kipindi cha Samia sijui mngesemaje
 
Kwa nini huku Dar msiwe na ulinzi shilikishi? Hakuna polisi wa kukaa kila nyumba..
Ni lazima tujiulize maswali mengi, kwa nini kipindi cha JPM hakukuwa na hao panya road na kwa nini sasa?

Wameanza kwa mapanga na mwishowe mtasikia wanatumia bunduki, kwa sabb hao hawako peke yao, ni mkono mrefu huo,

Maana haiwezekani I we tuu ghafula baada ya utawala wa JPM kuisha, je, walikwenda wapi panya hao?

Polisi na panya road wanajuana, na huwenda ni maswahiba
 
Endelea kujiuliza ukipigwa bisibisi utakuja kunishukuru
 
Hivi haijatokea kwa bahati tu tukio hata moja kunaswa na simu maana tunanasa mambo mengi sana au sehemu CCTV camera kunasa tukio hata moja kuweza kusaidia police pakuanzia? Au hawa hawajulikani kabisa maana inanipa shida kwa hali ya siku hizi simu zilivyojaa na CCTV camera unategemea kuna mtu atanasa lakini mpaka sasa naona picha za mnato tu baada ya matukio.
 
Back
Top Bottom