JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Kila kitu mtu mweusi "anaomba Mungu"anasubili miujiza,hakuna miujiza bila kazi ya mikono,Mungu mkuu hajawahi kushindwa, ataokoa Tu waja wake Kwa namna yake!
Weka sungu sungu,ulinzi shirikishi,tafuta vijana wasio na kazi mtaani,funga kamba,ambaye DNA zake zitakutwa kwenye siraha zilizokamatwa au kwenye miili ya waanga,huyo ni Shaba tu,na jeshi letu ni la hovyo sana,wanasiasa wakitaka kuundamamana,utaambiwa taarifa za intelijensia zinasema kutakuwa na fujo,lakini intelijensia hiyo inashindwa kuzuia panya road