eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Hapa inshu sio waachwe bali wote pyupyupyu iwahusu si ndio utaratibu mpya tumeuanzisha kwa wavunja sheria na katiba
Utamaliza vijana wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa inshu sio waachwe bali wote pyupyupyu iwahusu si ndio utaratibu mpya tumeuanzisha kwa wavunja sheria na katiba
Mkuu nilikuwa namjibu huyoUtamaliza vijana wewe.
Hawa panya road wameua wangapi kwa mwaka huu tuu ?Panya road wanaua na kudhuru mwili,mbadhirifu anamuua nani na anamdhuru mwili nani?
Wengi SanaHawa panya road wameua wangapi kwa mwaka huu tuu ?
Hao wabadhirifu wameua mamilioni ya watu ,ni wangapi wamepoteza maisha kwa kukosa huduma ya afya ? Wangapi wamepoteza maisha kwa kukosekana huduma ya mama mjamzito karibu na makazi yao ?
Kwenye afya tuu mkuu ni wengi saana lakini sisi muda wote tunawaimbia mapambio hao wabadhirifu na panya road tunawaona makatili kweli
Mkuu una kichwa kigumu sana, hajatetea panya rodi bali kasema ni lini wezi wa mabilioni wanaosababisha watu kufa kwa kukosa huduma muhimu watapewa adhabu kama wanazopata panya rodi?Subiri wakuvamie na kukucharanga kama fillet ya kitimoto ndio utajua tofauti ya hawa wauaji wanaojiita panya. Kibaya zaidi ukikutana nao hawajui kuwa wewe ndio mtetezi wao un3aowatetea nyuma ya keyboard na jina bandia. Elfu kumi tu au simu ya kitochi instosha kuondoa roho yako au kukufanya ķilema mbele ya wavuta bange hao
Hao wengi sana wepi waliouawa na panya road au waliopoteza maisha sababu ya kukosa huduma za afya ?Wengi Sana
Kwa hii coment yako wewe ndiye mjinga, hajasema waachiwe kasema wezi wa mali ya umma nao wapewe adhabu kama za panya rodi, mbona china wanatoa adhabu za panya rodi kwa wezi wa mali ya ummaNimeamini nchi hii ina wajinga wwngi mmoja wao ndio wewe. Kwa hio unataka panya road waachiwe tu ee?
Wengi SanaHawa panya road wameua wangapi kwa mwaka huu tuu ?
Hao wabadhirifu wameua mamilioni ya watu ,ni wangapi wamepoteza maisha kwa kukosa huduma ya afya ? Wangapi wamepoteza maisha kwa kukosekana huduma ya mama mjamzito karibu na makazi yao ?
Kwenye afya tuu mkuu ni wengi saana lakini sisi muda wote tunawaimbia mapambio hao wabadhirifu na panya road tunawaona makatili kweli
Kwa hiyo panya road wameanza mwaka huu au? Wameanza kukata watu mwaka huu au?Hao wengi sana wepi waliouawa na panya road au waliopoteza maisha sababu ya kukosa huduma za afya ?
Kwa hii coment yako wewe ndiye mjinga, hajasema waachiwe kasema wezi wa mali ya umma nao wapewe adhabu kama za panya rodi, mbona china wanatoa adhabu za panya rodi kwa wezi wa mali ya umma
Wakati wanaongezwa wanaolawiti watoto basi waongezwe na wezi wa mali ya ummaAcheni jeshi la polisi lifanye kazi yake, kama nikuonywa hao panya walishaonywa sana lakini wanapuuza na kuendeleza uharifu.
Naomba jeshi la polisi kwenye operation yenu hii ya shaba muwaongeze na hawa wanao lawiti watoto. Hawa nao inaonekana sheria wameizoea kama panya road wahamishieni kwenye SHABA.
Acha uongo lini JPM aliwapiga chuma wezi wa mali ya umma? Ndio kwanza matrilioni yalipotea alivyokuwa raisWewe ni punguani,hao wezi si ndio mliokua mnawatetea wakati JPM anawaadabisha
Hakuna anaewatetea polisi wao wanapambana na panya road na sisi Wananchi kama tunaumizwa na hawa viongozi tuandamane, tuwazomee kilawanapopita, wasipojirekebisha tupige mawe gari zao mwisho kabisa kama awajabadilika adhabu ya kifo inawahusu kutoka kwetu WananchiIla ni upumbavu pia kumtetea MTU anayeiba hela huku watu wanahitaji madawa na huduma za afya bora,wanakufa Kwa kukosa Barabara nzuri za kuwafikisha vituo vya afya,wanapata shida Kwa kukosa maji Safi na salama ya uhakika,wafanyakazi kulipwa hela kidogo ila huku watu wengine wakiiba mabilioni ya hela.
Acha uongo lini JPM aliwapiga chuma wezi wa mali ya umma? Ndio kwanza matrilioni yalipotea alivyokuwa rais
Tunataka panya rodi waendelee kupata wanachokipata sasa kutoka kwa polisi ila na wezi wa mali ya umma nao waongezwe kwenye list ya panya rodi nao wale chumaKwa kweli kwa matukio niliyoyashuhudia ya hawa vijana wanaoitwa panya road Sina huruma nao hata chembe na hata siwezi kumuombea adui yangu kukutana nao.....
Ukitazama kwa jicho la kibinadamu ni kama wanafanyiwa ukatili lakini ukishuhudia matukio yao na wahanga wa hayo matukio nafsi yako inabadilika hapo....
Kwa kifupi ikitokea umekutana nao ni tukio la kufa au kupona........
Haki na ustawi kwenye jamii ni pamoja kila mmoja kuheshimu haki na usalama wa wengine.....
Najaribu kulaani vitendo vya polisi lakini nikivaa viatu vya wahanga na majeraha wanaoyouguza naishiwa nguvu kabisa.....
Wezi wa mabilioni awaondoshwi madarakani na polisi wanaondolewa madarakani na sisi Wananchi kama hawa viongozi awatufai ni sisi Wananchi ndio tunatakiwa kuchukua hatua na wala sio polisiMkuu samahani kwako wewe wezi wa mabilioni wapo sahihi na wala wizi wao hauna madhara ?
Nchi hii kweli nimeamini wananchi wake wamejaa roho mbaya saana ,unawezaje kuhalalisha wizi wa mabilioni ambayo ilikuwa inaweza kwenda kujenga vituo vya afya ama kununua madawa hospitalini.
Hujawahi kujiuliza vifo vinavyosababishwa na ukosefu wa huduma kuwa mbali ama ukosefu wa dawa vipi vingapi ?
Sasa huyo wa ubeligiji alikula lini mali ya umma?wa ubelgiji si huwa mnasema alipigwa chuma na JPM ama mmesahau?na aliowarundika jela umewasahau. Wabongo kwa kujisahaulisha mpo vizuri. Panyaroad tulia polisi wakushughulikie
Sasa huyo wa ubeligiji alikula lini mali ya umma?
Mkuu nilikuwa namjibu huyo
Nilimaanisha ikiwa yeye anaona ni sahihi panya road kuuawa na wabadhirifu wa mali za umma nao wauawe kama ambavyo wanawafanyia panya road, wanafuatwa majumbani mfano aliesema billion ni vijisenti pyupyupyu nae inamuhusu hapo nami ndipo ntakubaliana Kwa sheria na katiba kutokufuatwa