Panya Road wapuuza karipio la Rais Samia, waendeleza uhalifu kama kawaida

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Pamoja na Rais wa nchi kusimama na kutoa kalipio kali kwa vijana wahalifu wa Panya Road.

Wameendeleza harakati zao za kujeruhi watu na kuiba mali.

Inabidi Rais sasa aonyeshe uongozi hii ni dalili mpaka watoto kama hawa ambao hata Makonda aliweza kuwafuta kwenye mitaa hawamuogopi na wanampuuza.

Kipindi hiki ndio uwa wananchi wanalia machozi kumisss uongozi strong wa Magufuli.

Soma: Panya Road wajeruhi 19, Mtongani
 
View attachment 2208388

Sasa Magufuli anaingiaje hapa?
 
Inashangaza sana Panya road vijana zaid ya 20 wanapanga na kujeruhi raia bila polisi kua na taarifa ila vikao vyote vya CHADEMA polisi wana intelejensia ya kuvijua na kuzuia visitokee.

Jeshi lishakua la kisiasa, limepuuza jukumu lake la msingi la kulinda raia na mali zao.
 
Raisi aliongea kiwepesi sana na kwa sauti ya kike nzuri ila watakaoshughulika nao ni wengine si yeye.

Jamani, Tuwaonye hawa watoto, Pay back itakapoanza katoto kako kakawa mbele ya chatu mwenye njaa huku kapakawa unga na mafuta ya kuteleza hatakuwepo wa kumsaidia.
ATAOGOPA SANA LAKINI HATOPONA.

Wazazi na jamii mnaowafahamu hawa vijana nafasi ni hii ya kumsikiliza raisi na kuwaonya. Hii nchi ina raisi mwenye sauti nzuri ila ina watu katili wanaoilinda.
 
Pamoja na Rais wa nchi kusimama na kutoa kalipio kali kwa vijana wahalifu wa Panya Road.

Wameendeleza harakati zao za kujeruhi watu na kuiba mali.

Inabidi Rais sasa aonyeshe uongozi hii ni dalili mpaka watoto kama hawa ambao hata Makonda aliweza kuwafuta kwenye mitaa hawamuogopi na wanampuuza.

Kipindi hiki ndio uwa wananchi wanalia machozi kumisss uongozi strong wa Magufuli.

Soma: Panya Road wajeruhi 19, Mtongani
Tatizo la "panya road" ni kutokuwepo mkakati rafiki wa machinga kufanya biashara. Machinga ni kundi kubwa linalobeba zaidi ya 90% ya vijana kwenye ajira isiyo rasmi. Hivyo katazo la kauli siyo jibu sahihi
 
Hakuna kitu chechote chenye ukweli kuhusu neno PANYA ROAD Rodi Roda.

Neno hilo ni muendelezo wa Wezi na Waandamanaji wa Kibeberu,Kibepari, na wa Kimbari kutoka bara la Ulaya, ambao ni kama mbwa mwitu.
 
Pamoja na Rais wa nchi kusimama na kutoa kalipio kali kwa vijana wahalifu wa Panya Road.

Wameendeleza harakati zao za kujeruhi watu na kuiba mali.

Inabidi Rais sasa aonyeshe uongozi hii ni dalili mpaka watoto kama hawa ambao hata Makonda aliweza kuwafuta kwenye mitaa hawamuogopi na wanampuuza.

Kipindi hiki ndio uwa wananchi wanalia machozi kumisss uongozi strong wa Magufuli.

Soma: Panya Road wajeruhi 19, Mtongani
Hayo makundi madogo madogo yasipodhibitiwa mapema ndio chanzo cha ugaidi, tutarudi Kule kule wakati wa kibiti
 
Inashangaza sana Panya road vijana zaid ya 20 wanapanga na kujeruhi raia bila polisi kua na taarifa ila vikao vyote vya CHADEMA polisi wana intelejensia ya kuvijua na kuzuia visitokee.

Jeshi lishakua la kisiasa, limepuuza jukumu lake la msingi la kulinda raia na mali zao.
Nahisi kuna askari polisi wanashirikiana na hawa madogo.
 
Tatizo la "panya road" ni kutokuwepo mkakati rafiki wa machinga kufanya biashara. Machinga ni kundi kubwa linalobeba zaidi ya 90% ya vijana kwenye ajira isiyo rasmi. Hivyo katazo la kauli siyo jibu sahihi
Kwahiyo kwa kukosa kwao ajira ndio watumie nguvu na akili kuiba na kujeruhi watu?!

Mbona magraduate wa vyuo wanakosa ajira ila hawashiki mapanga na kujeruhi raia
 
Tatizo la "panya road" ni kutokuwepo mkakati rafiki wa machinga kufanya biashara. Machinga ni kundi kubwa linalobeba zaidi ya 90% ya vijana kwenye ajira isiyo rasmi. Hivyo katazo la kauli siyo jibu sahihi
Ebwana hawa ni vijana wavuta bangi walioacha shule yaan hata umachinga awapo
 
Back
Top Bottom